Noel Okumu

Noel Okumu MAPEMA NDO BEST

Watu wa messi the goat harooooo!!!!!Hata c umeona sasa sai messi ndo the goat.....ule mwingine ni edwayaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…....Anyway...
09/07/2026

Watu wa messi the goat harooooo!!!!!

Hata c umeona sasa sai messi ndo the goat.....ule mwingine ni edwayaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…....Anyway Argentina all the best πŸ‘Š

Asali ilionja nyuki mbili 🀣🀣🀣 unaeza dhani ni mapacha kumbe ni wachokozi πŸ˜…πŸ™ŒSasa nani atasaidia mwingine kushout mbruuuuu...
08/07/2026

Asali ilionja nyuki mbili 🀣🀣🀣 unaeza dhani ni mapacha kumbe ni wachokozi πŸ˜…πŸ™Œ

Sasa nani atasaidia mwingine kushout mbruuuuuuu πŸ˜†πŸ˜†

Hii kenya tu πŸ€£πŸ‘ŒSasa ati huyu ni binadamu bila mwili πŸ˜…πŸ˜… u pay 100 ndo  umuone πŸ™Œ and kenyans are realy promoting the busin...
08/07/2026

Hii kenya tu πŸ€£πŸ‘Œ

Sasa ati huyu ni binadamu bila mwili πŸ˜…πŸ˜… u pay 100 ndo umuone πŸ™Œ and kenyans are realy promoting the business hadi schoolmate wa jamaa,sasa jamaa akiona schoolmate wake anaficha kichwa inabaki meza na nywele 🀣🀣.....kenya though!!!!

The church with DJ..Kwani siku hizi DJ walibadilisha mavazi,i used to know wale wenye walikuwa wanawachilia rasta alafu ...
07/07/2026

The church with DJ..

Kwani siku hizi DJ walibadilisha mavazi,i used to know wale wenye walikuwa wanawachilia rasta alafu wanadungilia burgie cloths.....system inaenda na system za generation.

Peter Pona tell us more about this.

06/07/2026

WEWE UNAEZA DATE DEM ANAKULA MIGUU ZA KUKU...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uku kwetu kuna husband material πŸ˜…πŸ˜… luo men are romantic ayaaa basi ndo huyu hataki kuoa...Single ladies mtataka connecti...
06/07/2026

Uku kwetu kuna husband material πŸ˜…πŸ˜… luo men are romantic ayaaa basi ndo huyu hataki kuoa...

Single ladies mtataka connection ama abaki kujioshea vyombo 🀣🀣

Leo nimeshiriki uku and gaze what am not going back to catholic πŸ˜…πŸ˜…...Shida ni kurukaruka lakini kuna testimony zingine h...
05/07/2026

Leo nimeshiriki uku and gaze what am not going back to catholic πŸ˜…πŸ˜…...

Shida ni kurukaruka lakini kuna testimony zingine haziezi kuregesha mtaa k**a hauna mtu...πŸ₯°πŸ₯°

Engekeee in the L.victoria πŸ‘ŒWhen i was in primary school,i used to be addicted in this method of fishing.Ikifika tu jion...
03/07/2026

Engekeee in the L.victoria πŸ‘Œ

When i was in primary school,i used to be addicted in this method of fishing.

Ikifika tu jioni tunaingia pale khusialala Busembe beach kuanza kutafuta chakula ya kuvutia samaki,by saa moja tunaingia lake side ya Namwinini at that time hiyo ndo place ilikuanga na samaki.

Now here nikuwakumbusha tu....hii samaki tunaiitaje kwa lugha ya mama 🀭

Wife material adventure!!!!πŸ˜…πŸ˜…Ukiwa ushagoo na utembelee mto wa aina hii ndo utapata wife material sasa,imagine msichana ...
03/07/2026

Wife material adventure!!!!πŸ˜…πŸ˜…

Ukiwa ushagoo na utembelee mto wa aina hii ndo utapata wife material sasa,imagine msichana wa wenyewe anatumia maji ya mto kuosha tisho ya white mpaka ing'are alafu kuna wale wa mjini ati lazima atumie washing machine...

Alafu uzuri wa hawa huezi mpata ameachilia makucha k**a ya mwewe,yeye ikiwa kubwa anang'oa na meno ndo kazi ikuwe rahisi kusolve πŸ˜‹πŸ˜‹

Ukitaka wife material tafuta hizi base huezi kosa ☺️

The only tribe yenye inajuwa maana ya wageni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…if i marry far away from Luhya then hiyo siezi hesabu k**a ndoa,lazima n...
02/07/2026

The only tribe yenye inajuwa maana ya wageni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

if i marry far away from Luhya then hiyo siezi hesabu k**a ndoa,lazima niongeze another one mwenye nitaenda kwao nitibiwe venye inafaa πŸ₯°πŸ₯°πŸ‘Œ

Address

Sio Port
Nairobi
50406

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Noel Okumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share