Aps mujibi Pato

Aps mujibi Pato Hallelujah praise the living name of our the lord Jesus Christ. Napenda kupasha habari njema yesu kristo sana sana kwenye mitandaoni hata pale kanisani.

Kwa majina naitwa APS MUJIBI PATO mie ni mwimbaji na mhuburi wa habari njema wa injili ya YESU KRISTO.

Hallelujah  Mungu ni Mungu wa majira yote.
19/12/2025

Hallelujah Mungu ni Mungu wa majira yote.

Hallelujah wengi wetu tuna jukumu Kubwa sana k**a wakristo la kufanya kusimamisha misingi ya wokovu katika jamii zetu. w...
17/12/2025

Hallelujah wengi wetu tuna jukumu Kubwa sana k**a wakristo la kufanya kusimamisha misingi ya wokovu katika jamii zetu. wapatikane pale k**a pastor's Apostles, Bishops wale wako seriously (2) Kuinua foundations ya maisha mazuri like business manager CEOs na Hili lita happen tu k**a tutajicomeet sana Kwa Mungu ju wengi tumetoka kwenye jamii masikini, masomi pia ni kidogo lakini hayo yote haijalishi Kwa Mungu kila kitu huwezekana.

God has a good plans you haijalishi majira na nyakati brother's and sisters and Mungu ni Mungu wa nyakati zote.
15/12/2025

God has a good plans you haijalishi majira na nyakati brother's and sisters and Mungu ni Mungu wa nyakati zote.

Happy Sunday to all my brethren from all the way praise God.
07/12/2025

Happy Sunday to all my brethren from all the way praise God.

This version of Facebook uses less data and works in all network conditions.

18/11/2025

Praise God the precious people. GOD are going to lifting you in the few next days. Sema Aiimen.

10/11/2024

MIMI NIKO AMBAYE NIKO.

Mara mingi mwanadamu hujiona kana kwamba ako peke yake kimaisha. wakati wa changamoto zinapo mpata walaki leo natia mtu moyo yakwamba MIMI NIKO Ako pamoja nawe Exd 3:14. .

Address

Busia

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aps mujibi Pato posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share