16/11/2025
THE LAST RIDE IN THE GRAVE
A local man in luhya land mwenye alikua boda wa pikipiki, kaendeshewa pikipiki akiwa ndani ya kaburi.
That was to mark his last ride. Pikipiki ikasimamishwa kwa jeneza ikawashwa na kungurumishwa.