Murio Digital

Murio Digital ENTERTAINMENT|| POLITICS||| GOSSIP
ALL TRENDING
The home of all Breaking News

12/08/2024

Good morning fam

Size 8 atangaza mwisho wa ndoa yake na DJ Mo baada ya miaka 11.Akifichua habari hizo kupitia mtandao wa Instagram, mwana...
01/08/2024

Size 8 atangaza mwisho wa ndoa yake na DJ Mo baada ya miaka 11.

Akifichua habari hizo kupitia mtandao wa Instagram, mwanamuziki huyo amesema anakubaliana na hali hiyo.

Nimeolewa kwa miaka 11 lakini leo naanza maisha ya kuishi peke yangu."Size 8 amesema.
Aidha, mwanamuziki huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumtumikia Mungu.

"Wakati mwengine ndoa inafaulu kwa neema ya Mungu na wakati mwengine haifaulu.Yote haya Mungu atabaki mfalme

Karamugi Girls Bus Involved In a Road accident at Kivwe Embu County
31/07/2024

Karamugi Girls Bus Involved In a Road accident at Kivwe Embu County

HAMTAJUA BABA MTOTO WANGU TENA-VERAMwanamitindo Vera Sidika amejitokeza na kueleza kuwa anapania kuwa na mtoto mwingine ...
31/07/2024

HAMTAJUA BABA MTOTO WANGU TENA-VERA
Mwanamitindo Vera Sidika amejitokeza na kueleza kuwa anapania kuwa na mtoto mwingine ila mashabiki wake hawatajua Baba mtoto wake
"Ikiwa nitaamua kuwa na mtoto tena siku zijazo, hakuna mtu atakayemjua baba. Nyote itabidi mjifunze jinsi ya kuzingatia mambo yenu kwa kweli."

"Mimi Ni Celeb Siwezi lipa anything"
30/07/2024

"Mimi Ni Celeb Siwezi lipa anything"

Marima-Weru-Iriga road Wamesema punda amechoka
30/07/2024

Marima-Weru-Iriga road

Wamesema punda amechoka

MHESHIMIWA AKATAA KUTIMIZA AHADI YA VIJANAKundi la vijana kutoka Kaunti ya Tharaka Nithi, eneo mbunge la Chuka wajitokez...
29/07/2024

MHESHIMIWA AKATAA KUTIMIZA AHADI YA VIJANA

Kundi la vijana kutoka Kaunti ya Tharaka Nithi, eneo mbunge la Chuka wajitokeza leo kuelezea ghadhabu yao mjini Chuka.

Kundi hilo lilitoa madai kuwa waliajiriwa kuwapigia kelele na kuwakashifu viongozi wakati wa ziara ya Rais Ruto wiki jana Kaunti hiyo.

Vijana hao walisema wanadai ofisi ya Mbunge wa Chuka/Igambang'ombe kuwalipa ahadi waliokubaliana ya shilingi 1000 kila mmoja, Kwani walitimiza wajibu waliopewa siku hiyo. kuhakikisha wamepigia kelele gavana wa Kaunti hiyo.


EVE MUNGAI AMENIBLOCK TREVOR ASIMULIA.Habari za Trevor na eve Mungai bado zinaendelea kusambaa na kusagaa kwenye mitanda...
29/07/2024

EVE MUNGAI AMENIBLOCK TREVOR ASIMULIA.
Habari za Trevor na eve Mungai bado zinaendelea kusambaa na kusagaa kwenye mitandao mbalimbali.
Ya hivi karibuni Trevor amejitokeza na kueleza alichokuwa akisema kuhusu wanadada content Creator.
"Eve ni mmoja wa wengi wa wanadada Content creator hapa kenya, so siezi kaa tu hivi nikae niseme anasexualize Content. Si vibaya kuunda sexual content mimi ni mtu ninastudy a lot of people and a lot of content if yeye ni one of them ata sijui."
aliongeza kuwa.
"Siwezi ona content yake ameniblock so siwezi andika kitu inamhusu na sioni content yake,"

MZIGO HAKUPATA, SIMU ILIENDA.Kijana barobaro ajipata taabani baada ya kwenda kutembelea mpenzi wake aliyempata kupitia m...
29/07/2024

MZIGO HAKUPATA, SIMU ILIENDA.
Kijana barobaro ajipata taabani baada ya kwenda kutembelea mpenzi wake aliyempata kupitia mtandao wa Facebook.
akizungimza na Murio Digital alieleza kuwa kipusa huyo alipin location na kumueleza k**a angetaka mzigo ajipeleke.
Bila kufikiria mara mbili kijana akafunga safari , na mwendo wa saa nane akafika eneo la kupatana.
Alipofika pale alikutana na wanaume wanne wote waliokula wakashiba. akaitishwa simu, kofia na viatu.
Tulipokuwa tukizungumza naye machozi yalikuwa yakimlenga lenga.

HALI SI SHWARI TENA KWA CHELSEA!Chelsea inapojiadaa kwa msimu mpya, Laana na mikosi inaitangulia k**a ndoto mbaya.Mashab...
28/07/2024

HALI SI SHWARI TENA KWA CHELSEA!
Chelsea inapojiadaa kwa msimu mpya, Laana na mikosi inaitangulia k**a ndoto mbaya.
Mashabiki wa timu hiyo wamebaki na maswali wasipate majibu.

Baada ya kutoka sare na timu ya ligi ya daraja la pili mapema wiki hii.
Jana Chelsea ilipachikwa magoli 4-1 na Celtic.
Kuna matumaini ya kubeba ligi msimu ujao?

Address

CHUKA
Chuka
60400

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Murio Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share