Yule Kim.

Yule Kim. Personal blogs

I am honoured to have been proposed by my party, ODM, to be President Ruto’s running mate in 2027. Before Baba passed aw...
29/10/2025

I am honoured to have been proposed by my party, ODM, to be President Ruto’s running mate in 2027. Before Baba passed away, he had personally told me the same. In honour of Baba’s wishes, I am ready to be President Ruto's running mate. I will make history as the first woman Deputy President of Kenya. This will be the winning formula for President Ruto’s re-election.

😛😛😛Nimekumbuka kuna time niliendanga kwa auntie yangu kanairo ☺️sasa hiyo siku nikaulizwa k**a najua kupika ugali nikase...
02/09/2025

😛😛😛
Nimekumbuka kuna time niliendanga kwa auntie yangu kanairo ☺️sasa hiyo siku nikaulizwa k**a najua kupika ugali nikasema najua hata mimi ndiye huwa napika home.Nikaenda kitchen nikawekelea maji na sufuria kubwa😊

Nilikuwa nataka nipike ugali kubwa juu kulikuwa na auntie, uncle na cousins wangu watatu plus mimi so tulikuwa sita.Home tulikuwa only 5 so niliamua kupika ugali kubwa kuliko ya home.Vile iliiva nikapakua tray tatu za ugali.

Moja ya auntie na uncle , ya pili cousins wangu wawili boys na ya tatu yangu na ya cousins dame.Nikapakua mboga zote nikapeleka sitting halafu nikaendea ugali ya uncle na auntie.

Nikarudi kitchen nikachukua ugali ya cousins wangu kuingia tu sitting cousin yangu akashout "mum ona rosy ako na kiugali kingine" watu 😭💔auntie akaniuliza hiyo ugali ni ya nani nikamwambia ni ya macuzoo hiyo nimeleta mbele ni yake na uncle.

Waliniangalia wakaanguka na kicheko halafu kidogo auntie akaniuliza k**a nilienda kuwapeleka hasara.

Nilishindwa kuongea juu hata ningeanzia aje kuwaambia pia kuna ugali tray ya tatu ambayo ni yangu na ni kubwa kuliko zote 💔😭

Cousin yangu mmoja akatumwa kitchen kuleta maji akashout " muuuuuum, kuna ugali ya tatu"

Kesho yake saa moja nilikuwa stage nikirudi ushagoo 😭😭😭💔💔

Follow Waitherero

Address

Makueni
Eastern

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 15:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yule Kim. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share