
07/09/2025
Eldoret huwezi piga sherehe na amani. Umeshikiliwa na madame wawili Wamarakwet pale Keja Inn, wanakunywesha keg na jug direct. Then unaskia mtu nyuma yako amesema in low tones,
“Alaptani, kiseschi ne my sister!”
(Shemeji, why do you despise my sister!)