MIGHTY ROMEO

MIGHTY ROMEO Award winning singer,song writer and performer
From BUMAICA🇰🇪
DANCEHALL ARTIST

0713519958
(8)

Sina Mengi ya kusemaBut Bila Mungu hata singewai patikana duniani💖💝sometimes nafikiria vile ako na huruma mpaka ni yeye ...
08/09/2025

Sina Mengi ya kusema
But Bila Mungu hata singewai patikana duniani💖💝
sometimes nafikiria vile ako na huruma mpaka ni yeye alileta usingizi ila anakesha kutuangalia tusidhurike💖
muda mwingine unaezashtukia umesema MUNGU UBARIKIWE kumbe baraka zote ni zake🇰🇪🇯🇲🇺🇬
💖💖💝

Hapo kwa Eulogy mtaongeza kuwaniliachwa mara Sigisti sigs ifi🥰🤣Msiache historia ikiwa fupi sana buanaa🫶
07/09/2025

Hapo kwa Eulogy mtaongeza kuwa
niliachwa mara Sigisti sigs ifi🥰🤣
Msiache historia ikiwa fupi sana buanaa🫶

06/09/2025

Big shout-out to my newest top fans! Davy kite, Jane Nashimiyu , Tana James, Val De Zesta, Pretty Shanquiz, Darshell, Miriam Gloria, Muvea Kilonzo, Baite Wa Kitale, Sankevo Kelvin, Sheekow Kah Daddie, Zaddy Mgwijji, Mamake Clin, Amina musungu , Karil Victor, Shadrack Nyakundi, Moses W. Muyoti, Brendah mukai , Alezray Kyalloz, Ajay Sindani Junior, Washingiton Mujamo, Purcell Wayne, Minz Wa Charlie, Vinny Vinny, Olang'o Beryl, Rizoo James, Ann Makena, Tesh Yogoyogo, Kevin Katila, Blu Ivy Wairimu, Peter Mambo, Nasha Travis, Betty Nganga, Stephen Muli, Bruce Zedes, Sara Alisha's, Kyle Bleeh, Sharon Sharon, Lexcy Morgan's, Egrah Bold, Chriss Kaiga, Konshens Kinglion, Josiah Teya, Pepela Junior, Mïghty Ròmeó Ke, Joseph Mwangi, Wycliffe Chui, Teltel Opp, Jemima jemmy , Mary Nabwire

it's so sad that umetuacha ukiwa mdogo ivo Uncle😭💔REST IN PEACE young Champion 😭😥R.I.P wayne😥
05/09/2025

it's so sad that umetuacha ukiwa mdogo ivo Uncle😭💔
REST IN PEACE young Champion 😭😥
R.I.P wayne😥

Mzee mmoja wa miaka Tisini alishuhudia uhalifu usiku mmoja😂🤣Na kwa kuwa aliona akaamua atatoa ushahidi kotini ili walioh...
05/09/2025

Mzee mmoja wa miaka Tisini alishuhudia uhalifu usiku mmoja😂🤣
Na kwa kuwa aliona akaamua atatoa ushahidi kotini ili waliohusika wafungwe..kule kortini alikutana na wakili anaitwa Little Brian na akaamua kumuuliza maswali kadha😂🤣
BURAYAAANI:Mzee ulisema ulishuhudia kitendo kile kabisa?
MZEE:si kushuhudia tu niliona kwa macho yangu ivii🤞
BURAYAAANI:ulisema una miaka mingapi?
MZEE:nina miaka Tisini,mbn lkn?
BURAYAAANI:Miaka Tisini?(😂🤣🤣)kwaiyo unaeza kuona umbali upi mzee jamani?
(kila mtu akacheka😂🤣😂)
MZEE:Kama naeza kuona Mwezi ukiwa Angani jiulize huo ni umbali upi?

BURAYAAANI FAINTED😂🤣🤣
Msijali ni ndoto zangu za asubuhi 👋💖😂
GOOD MORNING EVERYONE

kijana tunajua hapo ni Garissa 😂😂acha tukukujie na KENYA police welfare 😂🤣🤣utwambie hiyo matawi ni ya whoot😂🤣
04/09/2025

kijana tunajua hapo ni Garissa 😂😂
acha tukukujie na KENYA police welfare
😂🤣🤣utwambie hiyo matawi ni ya whoot😂🤣

k**a ww hakuna mtu mnafanana mdomo shauri yako😂😂💔Yaan TBT yngu namfanana  pacha wangu😂😂😂
04/09/2025

k**a ww hakuna mtu mnafanana mdomo shauri yako😂😂💔
Yaan TBT yngu namfanana pacha wangu😂😂😂

ENZI zetu ilikuwa ukipigwa Heartbreak unaskiza nyimbo za mapenzi tu🤣🤣💔hii generation ya sai wanaamua kuskiza Gospel acha...
03/09/2025

ENZI zetu ilikuwa ukipigwa Heartbreak
unaskiza nyimbo za mapenzi tu🤣🤣💔
hii generation ya sai wanaamua kuskiza Gospel acha hiyo
mpaka wanaingia kanisani kulilia madhanahuni mkidhani wanatubu kumbe karoho kamevunjwa🤣💔
wueeeh

Lakini mbona Leah alinyamaza tu akafanya tabia na Jacob usiku mzima na hasemi yeye si Rachael 😂😂msiamini wanawakeee😂😂but...
02/09/2025

Lakini mbona Leah alinyamaza tu akafanya tabia na Jacob usiku mzima na hasemi yeye si Rachael 😂😂
msiamini wanawakeee😂😂but mi naamini mpoa wangu😂💕💖

Mbele yao hufai kabisaalakini mbele za Mwenyezi Mungu unafaana utazidi kufaa🥰🫶
01/09/2025

Mbele yao hufai kabisaa
lakini mbele za Mwenyezi Mungu unafaa
na utazidi kufaa🥰🫶

Nyinyi wote ni watu wa POWER🫶Bila nyinyi sidhani k**a Muziki wangu utasonga🫶💖we keep pushing pale YouTube 🎤https://youtu...
30/08/2025

Nyinyi wote ni watu wa POWER🫶
Bila nyinyi sidhani k**a Muziki wangu utasonga🫶💖
we keep pushing pale YouTube 🎤
https://youtu.be/MdcoEP47a8M

Address

Eldoret
Eldoret
039

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MIGHTY ROMEO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share