12/06/2026
Aki huyu Baba Sherly Ondari kwa jina Dennis Nyakeri amefanya nimetoa machozi ππ.
Mnakumbuka wakati shule ya Utumishi Girls Academy ikichomeka? Huyu mzee alikuja akiuliza wamuonyeshe penye mtoto wake ako hadi akatoa shati ππ. Baadae alipatikana kwa baadhi waliochomwa adi kufariki.
Leo, imekua siku ya ibaada ya wavu pale Gilgil,amekuja akaonyeshwa jeneza limebeba mabaki ya mwanawe aki mzee amelia kwa uchungu sana πππ,Mungu amwonekanie,si rahisi.Pole sana