17/08/2024
Mkikuyu ni mtu ataamka saa tisa usiku😅😅ufikirie anaamka akupee morning glory😋😋Kumbe jamaa ameamka kuangalia k**a probox yake ya mawaaaru na cabbage imefika soko kutoka kinoo😏😏.
Mjaluo ni mtu utauliza Waithera ni nani akupee 20k za shopping😋na akwambie tulia a gal toto wacha stress😂😂na hakuna kitu utamfanya...
Mluhya ni mtu atakuacha bila ata pesa ya lunch na akirudi jioni akule chakula umenunua na pesa yako na akupige mechi moja safi hadi ushindwe kumuacha😂😂😂😂
Mkisii ni mtu atakutumia 150 na ashinde amekupigia simu kutoka asubui hadi jioni akikuuliza vile umetumia hiyo pesa😂🙄🙄
Mkalee ni mtu anaweza kukiss ni k**a analima shamba🙆♀️🙆♀️na hakuna kitu utamfanya😂😂😂.
Mnaigeria ni mtu atakupeleka shopping na ajifanye amesahau wallet kwa nyumba akwambie ulipe atarefund na saizo amebeba shopping yake pia😂😂😂😂.
Muhindi ni mtu ataingia inbox yako akuite hunny😍ata kabla ujibu akufuatanishe na🍆alafu amalizie na video call na hakuna mahali utampeleka😂😂😂😂
Good night 🌞 🙌🤩
Najua mtaongea vibaya
@followers