E-town jokes

E-town jokes Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from E-town jokes, Digital creator, 254, Eldoret.

Kuuliza sio ujinga mimi ndiye mmjingaMafundi hiyo mawe mnaikunja aje ndio ikue hivo? Mawe hukunjika kweli?🤔🤔🤔🤔🤔
19/12/2025

Kuuliza sio ujinga mimi ndiye mmjinga
Mafundi hiyo mawe mnaikunja aje ndio ikue hivo? Mawe hukunjika kweli?🤔🤔🤔🤔🤔

31/07/2025
Please following me
28/06/2025

Please following me

28/04/2025

ÜŤÀMŲ WA MABOSS🥵❤️1

SEHEMU YA 02

Alex alimkazia Linda macho🥺🥺alisimama akamsogelea ili amuone vizuri alihisi huenda hakuiona sura yake🥵🥵

Linda bado alimsukuma na kumwambia awe na adabu siku nyingine laa sivyo atamtwisha chupa ya pombe kichwani abomoe ubongo wake ulio lala

Alex baada ya kuona vile alipiga hatua na kuanza kutoka nje , Alex alitoka kwa hasira na kumpu uza kila aliekuwa anamuomba abaki pale baa na akaingia kwenye gari lake na Michael akiwa amekaa kando yake na gari likaanza kuondoka.

"Msichana huyo ni jasiri sana lakini nikimuona tena, sitamuacha,akasema Alex 🥵

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia mlango wa gari tukashuka.

"Vipi kuna taarifa yoyote ile kuhusu mambo ya PA" Alex alimuuliza Michael

"Mmmh..........." Michael Aliongea kwa kigugumizi

"Subiri, usiniambie kuwa hukuweka maelezo yoyote kuhusu mimi kutoa kazi hiyo, usikute hauja weka picha yangu, maana naamin WAnawake wakiona sura yangu watataman kufanya sana kazi na mm" akasema Alex 🥵🥵

"Samahani bado sijafanya hivo... Alisema Michael na Alex akahema na kufoka.
Kwanini unanifanyia hivi,

Yaan Leo mnanitibua TU🥺🥺,
Kwanza ni yule binti aliyenipiga kofi akaniacha nikiwa na aibu sasa ni wewe ambae huwez kufanya kazi uliopewa, Alex akafoka .

"Fanya kinachohitajika, nataka kumpata msaidizi wangu wa kazi kesho asubuh" Alex alisema kabla ya kwenda chumbani kwake na Michael akaondoka kuelekea nyumbani kwake.

"Michael Ni rafiki yangu lakini pia ananifanyia kazi na namlipa. najua mimi ni mkali kwake lakini ubinafsi wangu na kiburi hauniruhusu nishushe utu wangu,akawaza Alex maana alihisi k**a hajamfanyia vzr rafiki yake Michael 🥵🔥

"Kwa vyovyote vile nilikuwa na siku ndefu sana na nahitaji kulala,akawaza Alex 😴😴

lakini alipokaribia kufunga macho yake ili alale, simu yake ilianza kuita kwenye droo kwa hasira Alex aliutupa mto wake ukutani na ukatua chini
"Nani ananipigia simu sasa hivi, akasema kwa ukali

Alex aliangalia mpigaji na kuona jina

This poor mechanic was dating this beautiful girl online. One day the girl asked him to send money for transportation to...
25/04/2025

This poor mechanic was dating this beautiful girl online. One day the girl asked him to send money for transportation to come visit him. The poor mechanic was surprised. He thought the girl was going to deceive him. He couldn't believe a pretty girl like this would want to come to him. Two days later, he borrowed money from his boss and sent it to the girl. To her surprise, the girl flew from Nairobi to Kericho, Kenya, to see him. This beautiful girl is from a very wealthy family and wanted to prove men wrong that true love still exists and not all girls are after boys' money. She first went to the address the guy had sent her and found out that her boyfriend was staying in a one-bedroom apartment with 7 other guys. She asked them where she can find her boyfriend and they told her he is at work on the streets. She took the taxi to surprise him where he works. She came to the street walking around asking for the boy and people started teasing her saying 'that ugly boy is sleeping somewhere under someone's car with fat all over him'. The girl continued to search while the rich in their cars whistled for her attention. When she finally found her dirty boy lover sitting behind a car, she ran to give him a hug and the boy started crying. She asked: why? And he said: 'No woman has ever agreed to shake my hand let alone hug me in my entire adult life, except my late mother.' Both started to cry. Later, the girl rented a flat for 5 years in the city for him and bought him a motorbike to use at work.

They are now both planning to travel to Canada where the boy's talent can be developed.

Do such women still existing in Africa?🤔😟

My daughter is 16 and HIV +. She was diagnosed last month. She still claimed to be a virgin so we were all thinking it c...
25/04/2025

My daughter is 16 and HIV +. She was diagnosed last month. She still claimed to be a virgin so we were all thinking it could be through school or something, so we informed her school and they encouraged parents to run an HIV test on all their kids. It came out that about 11 extra students along side my daughter had it. They were all teenagers.
Parents, this is to encourage you to be checking your children. Only two parents knew their kids had it, the rest were all as shocked as I was.
Back to my story, I had to eventually investigate where my daughter got it because her story wasn’t adding up, her colleagues also said they’ve been seeing her in town with some guy after school. She wouldn’t admit it. So her father said he was taking her to the doctor to confirm if she was a virgin. It was until we got to the doctor’s office that she said she would say the truth so we should go home, with goosebumps all over her. She mentioned not being a virgin. She confirmed she was seeing someone so her father got a police friend with him to go and see the guy but till now, anytime they go the guy isn’t around.(Join us on IG: Loveandpillsgh)
My question is, why can’t these young guys leave our daughter’s alone? Why will someone lure a little girl under 18 to her and infect her with an STI? We’ve been in so much pain Kwaku. I keep wondering how my daughter’s life is going to be for the rest of her life. If we ever catch this young man, he would regret it.
Parents, check your daughters, please 🙏🏿

Address

254
Eldoret

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E-town jokes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share