18/02/2026
πππππ ππππ π
ππ πππππππ πππππππ
For BINGWA SOKONI DATA BUNDLES TILL 3191299
πππππππ π
One problem solved,many to go. Chris washapata pesa and now at least maisha imekua sawa sasa. Lakini punde si punde, Robert akamcall Chris akamwambia k**a umekaa na Jemimah toka hapo na asijue tunaongea na wewe.
Chris alijihepa kiasi Robert akamuuliza,pesa zimeingia? Chris akamwambia bado sijaangalia,kwani kuna shida? Ronert akamwambia zii, hamna shida,alafu ulisema deni yako ni 8million sindio? Chris akamwambia yeah sure. Robert akamwambia sasa sikiza, nishaambia Sabina anakupea 10million,so hizo 2million za juu uniekee vizuri. Chris akamuuliza kichwa yako iko sawa? Si ni loan napewa Robert,na sasa nikikupea 2million nitalipaje? Robert akamwambia shukuru sana k**a si mimi mngeenda ushago,so we aint arguing,pesa zinaingia by 2pm zinakuja zikiwa 10million,tafadhali I want my 2million. Good afternoon.
Chris hakuamini,yaniii...π€£π€£π€£Hivyo ndio kunaendanga. Robert hajafanya poa,ju Chris akilipa loan atalipa 10million plus intrest lakini Robert anataka zake 2million clean.
Annaliza na yeye alimcall Saida. Mbona amcall Saida,kwa sababu,amejaribu kumcall Tyrone,hashiki simu. Saida alimwambia Tyrone ashatoka na hata alitoka kitambo sana yafaa awe ashafika. Annaliza akamwambia hajafika ama ni ile story ya divorce inampea stress? Saida hakua anajua Tyrone na Sabina washadivorce,ndio amejua sai sasa,lakini swali ni Tyrone ako wapi? Sisi already tunajua penye ako...alipatanga kadem ππ
Mathew amekuja kumuona Tinah na kufika tu,Chris akamcall Tinah. Tinah alishika akamuuliza unataka nini? Chris akamwambia nimekucall tu kukushukuru ju najua ni wewe uliongea na mamako hadi akatusaidia pesa tushaclear madeni. Tinah akashindwa hii imetoka wapi sasa πππChris anaamini lazima ni Tinah alifanya but Tinah mwenyewe hana idea.
Asha na yeye alimcall Ray akamwambia guess what babe, sasa ndio nataka tupendane vizuri. Ray akamwambia wah,sioni ikimake ju unaona venye mamako ako na sasa babako akijua? Asha akamwambia usijali,nishaongea na mum nikamueleza na ashakubali tudate but bora tu dad asijue.
Finally Robert na Sabina washamove into a new apartment. Punde si punde, Tinah akamcall mamake,akamuuliza mum, 10million unapeana how? Unaezaje peana akina Chris 10million? Sabina akamuuliza ulijuaje? Tinah akamwambia for now haina maana lakini huoni Robert anakutumia? Sabina akamuuliza unamaanisha nini? Tinah akamwambia Robert anakutumia ju hata Annaliza alisema he is still seeing her so unatumiwa mum lakini Sabina akamwambia I know how to take care of myself.
πππππππ π
π€£π€£π€£Tyrone akitoka hakuenda hosi direct alipitia kwa yule dem,mapenzi yashaanza kumuingia sasa π€£π€£π€£
Tinah amejam,haamini mamake alipeana pesa zote hivyo kwa akina Chris. Lakini Mathew alimwambia usijali babe,maybe alifanya kwa uzuri so usimchukulie mbaya infact kuna dress yako nimekubuyia hapa.
Kumbe Robert na yeye,alitumia Annaliza maua π€£π€£π€£Sasa Annaliza amejam,anashindwa ni mara ngapo ataambia huyu mwanaume hamtaki. Hadi alimcall Robert. Robert akamuuliza hey umepata gift yangu? Annaliza hata hakungoja,aliambia Robert,wachana na mimi kabisa,si umeoa uko na mpenzi,shinda na yeye na ukitaka mkufe pamoja I dont care. Robert alikua amepeleka tumaua twa Valentine π€£π€£
Wakati Robert anaongea na Annaliza, Sabina alikua kwa call na Chris akimuuliza mbona akaambia Tinah sasa.
Asha alirudi akapata Mathew hapo,akamwambia I hope this time uko serious na Tinah na isiwe upuzi wako. Mathew akamwambia this time niko very serious.
Kisha Asha akakuja kwa jikoni akapata Flora hapo, akamwambia sijai ona mfanyakazi anafanya kazi kwa bidii k**a wewe. Flora akafurahi akamwambia unajua hii ndio kazi pekee so lazima niifanye kwa bidii. Asha akamwambia kuna mfanyakazi alikua hapa akafutwa kazi nik**a alifutwa ju hajui kuua watu ama kuweka sumu kwa chakula π€£π€£Flora akajua mara moja ashajulikana aliomba msamaha sana π€£π€£π€£Floraaaa....
Sasa Saida na yeye,alikuja akapata Mathew amekaa hapo,akamwambia umeng'ara sana. Mathew akamwambia unajua nampeleka out Tinah wangu. Saida akamwambia ni vyema lakini ya kale hayaachi kunuka. Mathew akamuuliza unamaanisha? Saida akamwambia unajua Tinah haeleweki,leo anapenda kijana mdogo kesho anapenda zee zee...Mathew akashindwa hizi ni gani tena π€£π€£π€£
Huh! As if Robert alisikia,alingoja masaa ya Annaliza kuenda nyumbani,akamletea maua ingine. Annaliza akamuuliza wee shida yako ni nini,husikii nikisema sikutaki? Robert akamwambia just hear me out lakini Annaliza alikataa akataka kuondoka lakini Robert akamwambia aje "I know how you can get a baby" π¨π¨π¨π¨what! Annaliza hadi alirudi nyuma ju ameishi sana kutamani kupata mtoto.
Tyrone na yeye kufika nyumbani ako tu kwa simu na kale kamrembo. Saida alimwambia Baba Asha njoo chakula kiko tayari lakini Tyrone akamwambia zii, nishakula na nimeshiba,good night...Saida akamuuliza mbona dharau sikuhizi? Tyrone akamwambia hamna dharau,ni wewe unaoverthink tu π€£π€£π€£
Mathew na Tinah washafika out,romantic dinner hadi Mathew ameamua kupropose kwa Tinah. Wakati tu ametoa pete sasa ndio apropose,nani alifika? Chris π€£π€£π€£na Chris alikua amemuwarn Matherw kuhusu Tinah...kumbe ile wakati, Chris akimcall Tinah kumwambia mamake amempea 10million,hakumcall ju alitaka kumshukuru alimcall ndio amwambia he now has money and of the baby girl wants money, baby girl will get money π€£π€£
MEANWHILE.. TUBUY DATA SASA INSTANT DELIVERY
INSTANT DELIVERY WITHIN 4-5 SECONDS
π₯ AGENT DOMINICβS EXCLUSIVE DEALS π₯
(AUTOMATED)
β EVEN with an existing Okoa Jahazi debt!
Buy , Data, Minutes, and SMS
β
Affordable bundles for everyone
β
Fast, reliable, and available 24/7
β
Repeatable deals you can rely on
πΆ BINGWA DATA DEALS ( ONCE PER DAY)
Hourly Category
KES 55 = 1.25GB, valid till midnight
KES 20 = 250MB, valid 24 hrs
KES 19 = 1GB, valid 1 hour
KES 49 = 1.5GB, valid 3 hrs
KES 99 = 1GB, valid 24 hrs
Weekly offers
KES 48 = 350MBs 7 Days
KES 300 = 2.5GB 7 Days
KES 700 = 6GB 7 Days
Monthly Category
KES 995 = 10GB 30 Days
KES 495 = 2.5GB 30 Days
KES 999 = 8GB+400 MINUTES 30 Days
KES 235 = 1.2GB 30 Days
MINUTES
Hourly offers
KES 50 = 50 minutes (valid till midnight)
KES 22 = 45 minutes (valid 3 hrs)
Monthly offers
KES 1020 = 800 minutes 30 Days
KES 520 = 300 minutes 30 Days
KES 1030 = 1250 minutes 30 Days
βοΈ SMS DEALS
KES 5 = 20 SMS daily
KES 10 = 200 SMS daily
KES 30 = 1000 SMS weekly
β»οΈ REPEATABLE DATA DEALS
KES 21 = 1GB, valid 1 hour
KES 51 = 1.5GB, valid 3 hrs
KES 105 = 2GB, valid 24 hrs
π² PAY VIA TILL NUMBER: 3191299
Name: DOMINIC
π¬ Need help? Call or reverse call anytime:
π 0748964222 β Customer Care (24/7)