27/02/2025
NEEMA CITIZEN TV
..EXTRA UPDATES ZA OBURE
Good evening, najua tumekaa sana bila kupata hizi extra, si leo niwapee hata ka siku moja tu nione k**a nitapata hata 2k likes ndio niendelee 😜😜.Hakikisha umelike before usome na ukimaliza share.
So tunaanza kwa Jayden, yuko hapa tao anapitapita, ghafla alistaajabu ya Obure kabla hayaone ya Neema 😅😅.Alimkuta Jojo akishuka toka kwa gari ya Brayo, mpaka Jayden akajiuliza kwani ni mimi sioni vizuri. Jojo alikuja mbio akitaka kumhug, but Jayden macho yako kwa Brayo. Jojo alimuuliza nini mbaya kwani una wivu? Jayden akamwambia unataka nicheze kiembarambamba au vipi, yaani unadhani hii ni furaha kukuona unatoka kwa gari ya mjamaa. Jojo akamwambia huyo ni mwanafunzi Mwenza na amenikujia tu hamna lolote. Jayden akamwambia nimejam, Jojo akamwambia nimeachana na hiyo kazi basi, but mood ya Jayden iko low. Jojo akajibeba huyooo,akaenda zake.
Salome naye aliambia msichana wake kuwa kuachana na Baraza ilikuwa ni tamaa yake. Alijiona akiwa mrembo na akatamani maisha ya juu, kwa hiyo babake akawa anampa na ivo akaacha Baraza. Msichana wake alimuuliza mbona basi sasa usimchukue Jayden tukae naye. Salome akamwambia hilo siwezi maana Baraza amekuwa naye tu, nikimtoa hapo ni k**a kumuuua. Hata alimwambia kuwa Baraza sio k**a babake, amefunza Jayden kuishi na watu na alimpa penzi la mzazi ambalo hawa hawakupata.
Tufike kwa wapendanao, hapa ni makisses tu,.Mark N Neema ndio wameamua kurudi toka kwa ile out Walidanganya ndio wakajileta, hapa kila mtu kwa gari yake, haooooo nyumbani.
Jojo alikuja kuambia Cate venye Jayden amemjamia ju ya kupanda gari ya Brayo. Cate akamwambia enyewe uko na kiherehere sana, sasa ulikuwa unataka akupigie makofi au nini. Kila mwanaume uwa na wivu kwa mtu anayempenda hasa akiona akiwa karibu na mwanaume mwingine. Jojo alidhani atatetewa, akapata hata huku ni kupewa kimsomo. Ikabidi anyamaze tu 😅
Usiku, Mark na Babu J. Walikuja huku nje kuongea. Mark anamwambia kuwa sasa mambo yashaanyooka na hivi karibuni atamuoa Neema. Babu J alifurahi sana .Sasa angalia venye Neema kanachungulia wazee wakiongea huku akismile 😅.Yaani mpaka yeye anafurahi sana kuona Mark akiwa kipenzi chake cha ngoro 😅😅
Sharon naye anaendelea kuangalia ile nguo ya arusi akisema venye ni tamu. Lakini Val ameeka earphones hasikii kitu 😅.Sharon aliboeka mbaya mpaka akakuja kumuuliza nini mbaya.
Mark na Babu j wameongea mpaka wakaamua kupeana hug. Papo hapo Isabel akafika na Neema akakuja. Sasa hapa tukakuwa na wanandoa watarajiwa wawili. Isabel amekuja kuomba msaada k**a wanaweza mpigia kijana wake simu amwambie kuhusu harusi yake na Babu J.
Sharon alimuuliza Val kwani tunakulazimisha kuolewa au nini. Val akamwambia wanisumbua nawe. Nitaolewa na niwaondokee 😥,hii ilimguza Sharon mpaka akamuuliza kwani kuna kitu wanificha au. Val akamwambia si mnataka nioleke, nitaolewa kisha nitafute divorce. Sharon ndio alishindwa, kwani huyu msichana anafikiria divorce hata kabla hajaolewa 😅😅.Sharon alibaki akiambia Val kuwa wanasema Sharon ni wazimu ila kwa leo, Val amekuwa mwendawazimu mkubwa .Hajui what Val goes through 😭😭
Mark alimkol kijana wa Isabel na good news akaambiwa Kijana wa Isabel anakuja in two days. Isabel alifurahi sana kusikia habari hizi. Mpaka karibu amkiss Babu J akakumbuka hapo Kuna watoto (Mark na Neema 😅😅😅)
Jojo yuko kwa room yake. Mamake aliingia akamwambia unajua nimesikia kuwa Val anaolewa kesho na yule msichana ni k**a analazimishwa kuolewa. Jojo alitaka kuenda kwao Val hiyo masaa ila mamake akamwambia ni late na babake Val ataleta kelele.
Asubuhi na mapema, hata kabla Naomi hajaamka, alisikia siku ikiitana. Kuangalia kumbe ni Alphonse. Akamwambia nakungoja kwangu sasa hivi 😅,weuh Naomi anashangaa huyu anataka nini kutoka kwangu hii asubuhi yote.
Mark na Neema ndio hawa wanaenda kazini, leo wametumia gari ya Mark. Mark ni kumkiss tu kwa mkono kila saa 😅😅.Huyu Mark ako so much in love walai. Ghafla simu ya Neema iliita. Mark akamuuliza huyo ni nani? Neema akamwambia ni Alphonse. Mark akamwambia husiishike acha nimkute mwanaume kwa mwanaume nimgonge mpaka akuwe kiwete wa ukweli 😅😅.Neema alimwambia usifike hapo kipenzi acha huyu nideal naye vile nilideal na Naomi,hii dunia yetu ya mapenzi hawatafika 😅😅.
Dancan na Sharon wamekuja kuamsha Val maana ni wedding day. Val amejifungia kwa room ni kulia tu. Jojo alikuja na angalau Sharon akamwambia kuja ujaribu k**a huyu msichana ataamka. Jojo kumuita Val mara moja, Val aliamka na kumfungulia mlango. Jojo alimuuliza nini mbaya, Val akamwambia kila kitu venye alimkuta Kevo akiuza dawa za kulevya, venye alitoa ile engagement ring na mpaka venye alikuwa r***d 😭😭.Jojo alitokwa na wazimu, akamuuliza alafu unataka kuolewa na hicho kikatuni. Val akamwambia ni juu babangu anataka ivo. Jojo alimwambia uko na evidence yoyote, Val akamwambia nilirecord ila akadelete. Jojo akamwambia nipee hiyo simu nitaipata hiyo video. Jojo akaambia Val kila kitu kitakuwa sawa, amini kuna suluhu kwa kila issue.
Jojo alikuja mbio mpaka kwa Jayden, akamwambia niko na mambo mawili. Kwanza Val anaenda kuolewa saa tano mchana. Jayden akashtuka, Jojo akamwambia ngoja Kwanza, kitu imenileta hapa ni kuwa Val alikuwa r***d na akarecord hiyo video but later Kevo akaidelete, kuna venye unaweza ipata kweli. Jayden kabla aseme ndio au Hapan, Jojo akamwambia please niambie inawezekana 😅😅.Yaani Jojo anajua hakuna kitu hakiwezekani kwa Jayden, kuamini mtu wako.
Val ashavalia vazi la arusi, Kevo amekuja na gari kumchukua, Sharon, Dancan na Isabel wanafuraha sana. Waliingia garini kisha hao, mpaka kanisani, harusi lazima ifanyike.
Baada ya kung'ang'ana saana, hatimaye Jayden alipata ile video, HALLELUJAH 🙏.Jojo alifurahi sana, waliitazama ile video venye Val alimhoji Kevo kuhusu kuuza dawa za Kulevya na hata kumdunga kisu Jayden na mpaka kumrape, hiyo video yote iko hapa. Jayden na Jojo wakaenda polisi mbio kuripoti juu wako na enough evidence ya kueka huyu KEBIN MLAZIMISHA UTAMU ndani
Kule kanisani nako mambo yanaendelea, pastor wa siku alisimama akauliza, Val je kwa ilhali unakubali kumchukua Kevo kuwa mume wako bila kulazimishwa na mtu yeyote? Kimya kikatanda, sauti tu ilikuwa inasikika ni ya moyo wa Val ukidunda. Sharon anamtazama Val mpaka na mdomo, Dancan anasubiri jibu, Isabel ameushika mdomo, Kevo pia anangoja kwa hamu, wazazi wa Kevo pia wanangoja tamko la Val. Val alitazama kwa mlango akaona Jojo hajafik, akajua hamna matumaini kamwe, akafungua kinywa kisha akasema, Ndio nakubali. Sasa ni wakati wa Kevo, aliulizwa pia, Je kwa ilhali yako, unamkubali Val kuwa mkeo bila kulazimishwa na mtu. Kevo hana speed, akachukua mic ili aseme kwa sauti, kabla hata ameze mate, kulijaa maafisa wa polisi huko kanisani, kila wakamuita Kevo na kumwambia kwanzia sasa hivi uko chini ya ulinzi. Tumepewa warrant ya kukuk**ata kwa kumdunga Jayden kisu, uuzaji wa dawa za kulevywa na pia kumrape Val. Weuh Dancan hakuamini kusikia hilo la mwisho.
Kevo alik**atwa na Val akakuja akaambia babake wewe ndiye umesababisha haya yote kwa sababu hukutaka kuniamini au kusikiza mimi. Sharon alikosa kuamini mpaka anajigonga kichwa akijiuliza why???
Dancan kuona haya yoote alianza kulia, kisha akatoka mbio toka kule kanisani, sijui ni k**a alienda kujirusha river Gucha, hebu niende hivi nione k**a amejirusha, nakuja kuwaambia nini kilihappen.
Kwa sasa nipee like, comment na share hii post kwa groups mbili pleeease
Alafu si watu fodi wafollow 👉 English Safari Hub
Nakuja kumalizia kuandika