Fahari FM

Fahari FM The best Radio station from Rift valley, get all news updates here, For more information contact 0755922689

familia moja , kutoka Bondeni yampoteza kijana wao hii Leo baada ya kudaiwa kuugua kwa Muda, alipatikana akiwa chumbani ...
02/05/2026

familia moja , kutoka Bondeni yampoteza kijana wao hii Leo baada ya kudaiwa kuugua kwa Muda, alipatikana akiwa chumbani mwake akiwa amefariki

watoto Ni Baraka , wazazi heko kwenu
30/04/2026

watoto Ni Baraka , wazazi heko kwenu

Kwenye michezoni, Timu ya Moister inatarajiwa kurejea michezoni baada ya likizo fupi, wakijiandaa kumenyana na Desert FC...
30/04/2026

Kwenye michezoni, Timu ya Moister inatarajiwa kurejea michezoni baada ya likizo fupi, wakijiandaa kumenyana na Desert FC kutoka Turkana , ugani Bwayi Moisbridge wikendi hii.

wakilisha Mtaa wako , Moisbridge , je unatoka upandegani
29/04/2026

wakilisha Mtaa wako , Moisbridge ,
je unatoka upandegani

Through Talanta mashinani I'n Moisbridge , Let's support Serah Wa Mukami  the Upcoming Gospel artist.
29/04/2026

Through Talanta mashinani I'n Moisbridge , Let's support Serah Wa Mukami the Upcoming Gospel artist.

29/04/2026
Yesterday through Talanta mashinani we met Serah Wa Mukami Gospel artist from Moisbridge Mukunga village Her YouTube cha...
28/04/2026

Yesterday through Talanta mashinani we met Serah Wa Mukami Gospel artist from Moisbridge Mukunga village
Her YouTube channel known as Lidya Njenga .

Maajabu zaidi Moisbridge kijana Mdogo kutengeneza Aina Fulani ya Gari kutumia Engine Ya Pikipiki๐Ÿ˜ƒ Heko kwake
28/04/2026

Maajabu zaidi Moisbridge kijana Mdogo kutengeneza Aina Fulani ya Gari kutumia Engine Ya Pikipiki
๐Ÿ˜ƒ Heko kwake

Mvua kubwa inazidi kushuhudiwa Moisbridge, huku Biashara zikisimama
27/04/2026

Mvua kubwa inazidi kushuhudiwa Moisbridge, huku Biashara zikisimama

hii Leo kwenye Kazi mitaani, wasee wa Car wash. mlinifurahisha sana ,
27/04/2026

hii Leo kwenye Kazi mitaani, wasee wa Car wash. mlinifurahisha sana ,

kwani Kisumu Jana mlikuwa this seriouse ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
27/04/2026

kwani Kisumu Jana mlikuwa this seriouse ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

27/04/2026

Finally we managed to meet Mbeumo from Moisbridge๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒthanks for your love ๐Ÿ“Œ

Address

Moisbridge
Eldoret
11011

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahari FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category