Msanii Cindy p

Msanii Cindy p Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msanii Cindy p, Digital creator, Embu.
(3)

I GIVE LIFE TO MEMESβ€” literally
Digital creator
πŸ”₯ 700K+ strong on TikTok
πŸ“Έ 130K+ followers on Instagram
πŸ“˜ 197K+ and counting on Facebook
πŸšΆβ€β™€οΈPro:Model (12win crowns)
🎼 Artist

18/11/2025

Ukiona amekuchiti basi kafanya makusudi hakunaga bahati mbaya kwenye kuchitiπŸ˜’πŸ˜’

18/11/2025

Wangapi wanakubaliana na mimi? γ‚šviralγ‚·fypγ‚·γ‚šviralγ‚·alγ‚·

Mimi nayo sitaacha kuwakumbusha wanaume ni watu wazuri sana πŸ˜‚πŸ–οΈ
18/11/2025

Mimi nayo sitaacha kuwakumbusha wanaume ni watu wazuri sana πŸ˜‚πŸ–οΈ

Mtoto akiangukaAmerican: Oh sorry baby, are you hurt?Kenya: Usimuangalie, ataanza kulia😭 πŸ’” πŸ˜… Tabia gani ingine inakua tu...
18/11/2025

Mtoto akianguka
American: Oh sorry baby, are you hurt?
Kenya: Usimuangalie, ataanza kulia
😭 πŸ’” πŸ˜…
Tabia gani ingine inakua tu yetu k**a wakenya?πŸ€”πŸ€£πŸ€£

I grew up in a country where the answer to "where are you going" is "I am coming" πŸ’”πŸ˜­πŸ€£Good morning πŸ‘‹πŸ½
18/11/2025

I grew up in a country where the answer to "where are you going" is "I am coming" πŸ’”πŸ˜­πŸ€£Good morning πŸ‘‹πŸ½

17/11/2025

So tuseme hiyo picha umeeka profile picture ndio kali kwa zoteπŸ˜…πŸ˜…

Ni nini hiyo huwa unaogopa kununua kwa duka watu wakiwa πŸ˜…
17/11/2025

Ni nini hiyo huwa unaogopa kununua kwa duka watu wakiwa πŸ˜…

Umesave aje mpango wako wa kando, kwa simu yako?Fungua RohooπŸ‘ŒπŸ˜‡
17/11/2025

Umesave aje mpango wako wa kando, kwa simu yako?
Fungua RohooπŸ‘ŒπŸ˜‡

17/11/2025

Hutaki kuprovide na hutaki kugongewa,,
Wanaume mnatakaje?πŸ«’πŸ™ƒπŸ˜‚
Nimeambiwa niwaulizeπŸ’ͺπŸ˜‚πŸ˜‚

Ni app Gani utaki mtu wako ajue k**a uko nayo kwenye simu???πŸ˜‚
17/11/2025

Ni app Gani utaki mtu wako ajue k**a uko nayo kwenye simu???πŸ˜‚

17/11/2025

Aina Nyingine Ya Uchawi Ni Kuonyesha Wivu Huku Na Wewe UNacheat

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

17/11/2025

Tupatie yule Queen alikubeba for nine month a red heart β™₯️β™₯️β™₯οΈπŸ™

Address

Embu

Telephone

+254734424494

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msanii Cindy p posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Msanii Cindy p:

Share