26/07/2024
Family affair
It was around 6.30 in the morning, I had dropped a client at Ngara stima plaza another request came through it was 3 minutes away, pick up point ilikua a hotel behind police sacco plaza Ngara, I drove to the pick up point kufika nikacall jamaa, " Boss! nimefika Niko hapa kwa parking" jamaa akanishow "cheki siendi but nataka uende kwangu South B ukaniletee suti yangu nitakupea number ya wife ukifika you call her is it ok? " I said it was ok.
Jamaa akanitumia number ya wife, the apartment and the house number, I started the trip when I arrived I dial the wife's number "hallo nimetumwa na huzy wako ni pick something " wife "oh! umefika sasah! Mmm mmh unajua nini Mimi siyuko home, 🌟 🌟 na nimejaribu number ya msichana wa kazi ni mteja, plz if you don't mind panda tu stairs uende kwa nyumba umpatie simu plz".
Why not nikaenda kufika nika knock, mlango ikafunguliwa,(hapa kuna story yangu personal) nikampatia msichana simu akapewa instructions, then akanirudishia simu, akaniletea nguo za mzee. On my way wife akanicall, hallo umepewa hizo stuff? "yes" nikareply
Wife "mzee akikuuliza ni nani alikupea useme ni mimi, uko na WhatsApp nikutumie picha yangu uone vile nime shuka ny'wele," akanitumia picha then akaniambia sorry for the inconveniences, nikamshow "Hamna shida" then from no where akaniuliza unampelekea wapi? hapo Sasa ndio nilisweat nika hung up, to be continued.