Benah Benaa Fun

Benah Benaa Fun Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Benah Benaa Fun, Digital creator, 188, Kabarnet.

25/05/2026

Germany gave us cars
Japan gave us robots
What technology came from your country?

24/02/2026
11/02/2026

Grab a follow by following
let's go

01/01/2026

Happy new year

Kumbe hii ni dawa na umejaa kila mahali....Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .Mmea hapo kwenye picha :🥬Kisukuma unaitwa Mjor...
10/11/2025

Kumbe hii ni dawa na umejaa kila mahali....
Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .
Mmea hapo kwenye picha :
🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi
🥬 Kalenjin huitwa senetwet

Kuhusu matibabu :

🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito

🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..

NAMNA YA KUTENGENEZA

🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu k**a mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...

NAMNA YA KUTUMIA

🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.

🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe k**a mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha follow benaa fun

09/11/2025

It is only in hospital that as got faithful prayers

Address

188
Kabarnet
30400

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benah Benaa Fun posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share