Wakili wa Yesu

Wakili wa Yesu Working for the Lord
Believing in the Lord
Apostle of the Lord

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Daniel Muganda, Ombeni Christopher, Kipyegon Bii, Francis...
22/05/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Daniel Muganda, Ombeni Christopher, Kipyegon Bii, Francis Wesonga, Annet Kaseyia, Amon Too

15/05/2025
09/05/2025

Zaburi 63:5-9
5 Nafsi yangu itakinai k**a kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.

6 Ninapokukumbuka kitandani mwangu, Nakutafakari Wewe makesha yote ya usiku.

7 Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.

8 Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.

9 Bali waitafutao nafsi yangu, ili kuiharibu, Wataingia pande za nchi zilizo chini.
@

28/04/2025

Yesu Atamka
asema ni kwambie Kwamba unaweza ☝️

26/04/2025

Luka 19:41-44
👉Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,

👉akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.

👉 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;

👉watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako☝.

👉Nakuombea Bwana wamajeshi awahangaishe watesi wako👉
👉Adui wakotafutao wasipate kibali usoni pako
Ijara yako i mukononi mwaki
Liitie Jina la kristo ,maana ndio ,nguzo yako👏
@

24/04/2025

Zaburi 33:20
Nafsi zetu zinamngoja Bwana; Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.

24/04/2025

Zaburi 33:13-19
13 Toka mbinguni Bwana huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia.

14 Toka mahali pake aketipo Huwaangalia wote wakaao duniani.

15 yeye aiumbaye mioyo yao wote Huzifikiri kazi zao zote.

16 Hapana mfalme aokokaye kwa wingi wa uwezo, Wala shujaa haokoki kwa wingi wa nguvu.

17 Farasi hafai kitu kwa wokovu, Wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake.

18 Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.

19 Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.

24/04/2025

Sefania 2:15
Huu ndio mji ule wa furaha, Uliokaa pasipo kufikiri, Uliosema moyoni mwake, Mimi niko, Wala hapana mwingine ila mimi. Jinsi ulivyokuwa ukiwa, Mahali pa kulala pa wanyama wa bara! Kila mtu apitaye atazomea, Na kutikisa mkono wake.

24/04/2025

Warumi 10:18
👉Lakini nasema, Je! Wao hawakusikia? Naam, wamesikia, Sauti yao imeenea duniani mwote, Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.🙏
MUNGU AKUNENEE MEMA

24/04/2025

Mithali 11:16
Mwanamke wa adabu huheshimiwa daima; Na watu wakali hushika mali siku zote.

Address

Kakamega

Telephone

+254702488784

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakili wa Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakili wa Yesu:

Share