15/07/2026
Hongera kwa wanafunzi wote waliopangiwa fursa katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro (MMUST) kupitia KUCCPS!
Safari yenu ya kufikia ubora inaanzia hapa. Karibu katika jamii ambayo ndoto zenu zitalelewa, vipaji vyenu kugunduliwa, na fursa nyingi ziwangojeeni.
Wrlcome to the university of Choice💥❤️