Popcity TV

Popcity TV Making music that will inspire every soul. Nurturing talent and exposing it to the world. We are dedicated to bring out best of best in an artist.

We dont settle for average, but the very best!

 KAIGAN KOROON MUSIC VIDEO
26/07/2025


KAIGAN KOROON MUSIC VIDEO

ARTIST OF THE WEEK!Floice Liani ni mzaliwa wa Kijiji Cha Binyenya, County ya Kakamega nchini Kenya. Alizaliwa na kulelew...
27/06/2025

ARTIST OF THE WEEK!

Floice Liani ni mzaliwa wa Kijiji Cha Binyenya, County ya Kakamega nchini Kenya. Alizaliwa na kulelewa katika dini ya uislamu. Siku moja dadake alishambuliwa na mapepo na Yeye tu ndiye aliyekua karibu. Ilibidi asimame kwa pengo ili kumsaidia dadake. Ailikua na rafiki yake mmoja aliyekua mcha Mungu bas akamueleza kuhusu Hali ya dadake. Rafiki huyo alimshauri atafute uso wa Mungu na pia ajiunge na kanisa ili apate msaada. Hivo ndivyo alivyojikuta kanisani, dadake akaombewa na akapata uponyaji. Tangu siku hio, Floice akampokea Kristo na kuasi uislamu, huku akizidi katika maombi kwa ajili ya dadake. Siku Moja baada ya kutoka kanisani akiwa ameketi pekee, Mungu akaawa anampa ujumbe kupitia kwa wimbo, akajipata ameanza kuimba, hapo na hapo akachukua kalamu na karatasi na kuandika wimbo ule. Na ikawa mazoea ya kuimba na kuandika nyimbo.
Mungu akimjalia nafasi, angependa kuanzisha kituo cha kuwasaidia mayatima, na wale wasiojiweza. Na pia kufikia mataifa kwa nyimbo za injili ya Yesu Kristo.
Unaweza ukampata pale YouTube k**a Floice Liani, Facebook pia k**a Floice Liani.

27/06/2025

We are beginning a new series. ARTIST OF THE WEEK. Stay tuned!!

24/06/2025

Unveiling Floice Liani

30/05/2025

Mustafa Jnr Lee

Now on YouTube.
16/04/2025

Now on YouTube.

25/12/2024
 Recording Session
18/12/2024


Recording Session

Floice Liani in the studio
17/10/2024

Floice Liani in the studio

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Popcity TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Popcity TV:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share