
28/06/2024
Kwanza Mimi ni Mimi na siwezi swi
tch,,,,
Niko complicated K**a sufuria ya catering,haijuu unaenda matanga ama harusi,,,,
Kiburi nayo iliniita nikaitika😂😂
Sijui kupigana lakini bado siwezi pigwa,,,
Niko na utoto,,, Napenda vurugu,,,
Mimi ni shy,,,,. Mimi ni mpole,,,
Mimi ni joker,,,. Mimi ni bad influence,,,
Mimi ni loyal,,,,. Sina chuki na watu,,,,
Mimi ni mkind,,,,,, Siwez pimwa ufala,,,
Niko serious na Maisha Alafu I love deeply,,,,♥️♥️💯
Sasa inadepend we mwenyewe ulinipata side gani😂😂😂💯