26/04/2026
๐๐ฅถ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟMpira umeisha hapa Wembley, Chelsea wanashinda 1-0 dhidi ya Leeds na kujikatia tiketi ya kucheza Fainali ya Emirates FA Cup na Manchester City!
Goli limefungwa na Enzo Fernandez katika dakika ya 23'
Kiukweli haikuwa mechi rahisi!