27/05/2026
Story time kidogo 😂🔥.Nilifika Malava around November 2020 nikaanza kazi kwa studio fulani inaitwa INULIWA STUDIOS 🙏. Unfortunately by January 2021 studio ikafungwa 😭💔. Karibu nirudi kwetu kabisa 😀, but bahati fiti studio ingine ikakuwa inafunguliwa nikaitwa kusaidia kidogo 🙏.
Tulijaribu kusurvive mwaka ya 2021 lakini by 2022 nayo pia ikaclose down 😔. Nakwambia kurun music studio Malava those days ilikuwa noma sana 💔. Unaweza kaa hata miezi tatu bila kupata client mmoja 😭. The passion ilikuwa kubwa but the industry bado ilikuwa chini sana, so studios zetu hazikuweza kumake 😔.
That’s when tukadecide kuanza empire yetu wenyewe — Danger BEATS MEDIA 💪🔥.By then hakukuwa hata na hawa bloggers wanatutusi sai 😂. Wasanii wengi walikuwa very supportive 🙏, lakini game yenyewe bado haikuwa imeamka vizuri.Sai nikikaa chini na kuangalia vile mambo inaendelea, nafeel proud sana ❤️🔥. Wasanii wameanza kuamini process, bloggers wanafanya kazi poa sana kina Malava Nation na wengine wengi 🙏. Tuko na wasee k**a kina J Carlos na wengine wengi wenye wanapush game yetu mbele ❤️.
Tumekuwa part ya hii journey for years, na wengi wa hawa artists started their journey hapa 🙏🔥. Kina Iyanova Theg , Msanii Locho , Pvox, Kennly Raizy, Ninaly Becky, Lazz Vva , Mish Mash, Rai Truelove , Munyovi Cornelius , Pacha Melody Tz , Syco D Solo , braaz na wengine wengi sana ❤️.
Na honestly… hatujachoka 💪. Hatuna fear ya kufanya whatever it takes kuona hizi names zikigrow bigger 🙏🔥. Tukona wasee wengi sana kwa game wanazidi kutu encourage k**a kina Davy Msafy, Elly Dela na wengine wengi.Hata wale wanatusema vibaya pia 😀… bora tu wanaongelea game yetu 😂🔥. Better wasee waongee kuliko wakae silent.Alafu tuko na media yetu inazidi kufanya poa pia na Kuna Wasee wanatusaidia na moyo Moja k**a Mc Allano Yax KE, Ayam Wanjiru, King Dantez na wengineo 🙏🙏🙏One thing I know for sure… we will conquer 💪🔥❤️.Nimeanza kuona dalili 😀🙏🔥.Tusife moyo