
06/08/2025
Awamu ya Pili ๐ฅ
Mwanadada Milly Sabwami. yupo LIVE na wageni kutoka Idara ya Afya, Kaunti ya Pokot Magharibi wakijadili homa ya Mpox.
๐ Unajua dalili za Mpox?
๐ Je, ugonjwa huu unasambaa vipi?
K**a una swali kuhusu Mpox, andika sasa na wageni wetu watakujibu moja kwa moja!
๐ป Sikiliza LIVE kupitia North Rift Radio 104.5/104.9FM au www.northriftradio.co.ke
North Rift Radio โ Ni mimi na wewe!