24/04/2026
Tume ya Uchaguzi na mipaka Nchini IEBC yasema haitaongeza muda wa usajili wa wapiga kura; utakaokamilika Aprili 28, 2026; Mwenyekiti Erastus Ethekon akiwaonya wanasiasa dhidi ya kuingiza siasa katika shughuli hiyo.
Je, Maoni Yako ni gani?
Listen live www.kalyafm.co.ke