
30/06/2023
Chemistry was one hell subject!!!😂😂😂
Unaingia exam room unapata Q1 hujawai sikia tangu form one😂😂unaenda Q2,unapata inasema explain your answer in Q1above!!!👀unaisha na nguvu unasonga Q3,,kumbe inasema discuss your answer in Q2😲unangalia wenye wako around unaona huwezi discuss nao coz index number yao ni mbaya afadhali yako😂unaenda Q4 wanauliza types of bonds na zenye unajua ni Eurobond na james bond pekee😂unauma kalamu😎kidogo chopi anaendia extra paper unashindwa ni kurogwa ama nini?😂kabla huyo kuketi mwingine anasimama na kusema Q7 iko na shida na hio pekee ndio ulicalculate ukapata 0.076456 unaamua kulalia meza😇na unaota kuna uncle wako ako jeshi atakuorganizia uingie after chuo😂😂unaamka ghafla unakumbuka uncle wako ni jeshi la wokovu😩💔🤦
👉Alex Ke LagatAlex Ke LagatAlex Ke LagatAlex Ke Lagat