19/06/2025
Say it out loud: “Siwezi achwa na algorithm! Ni mimi ndio boss!” 💪
Hii browser yako inakurudisha nyuma faster than ex akiona umemove on 😅🫣
👉 Funga hizo tabs, safisha history, alafu rudi kwa mission yako 🤣🤣🤣
Usiachwe na algorithm, we ndio boss!
👉 Follow Stiles KE