KMD Africa Vision Network

KMD Africa Vision Network Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KMD Africa Vision Network, Broadcasting & media production company, kmdafricavisionnetwork@gmail. com, Kericho.

04/07/2025

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄:
𝐊𝐍𝐄𝐂 𝐫𝐨𝐥𝐥𝐬 𝐨𝐮𝐭 𝐝𝐢𝐠𝐢𝐭𝐚𝐥 𝐜𝐞𝐫𝐭𝐢𝐟𝐢𝐜𝐚𝐭𝐞 𝐯𝐞𝐫𝐢𝐟𝐢𝐜𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐩𝐥𝐚𝐭𝐟𝐨𝐫𝐦 𝐩𝐢𝐥𝐨𝐭𝐞𝐝 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐏𝐮𝐛𝐥𝐢𝐜 𝐒𝐞𝐫𝐯𝐢𝐜𝐞 𝐂𝐨𝐦𝐦𝐢𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧 𝐟𝐨𝐫 𝐫𝐞𝐚𝐥-𝐭𝐢𝐦𝐞 𝐚𝐮𝐭𝐡𝐞𝐧𝐭𝐢𝐜𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐭𝐨 𝐜𝐮𝐫𝐛 𝐟𝐨𝐫𝐠𝐞𝐫𝐲, 𝐁𝐚𝐬𝐢𝐜 𝐄𝐝𝐮𝐜𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐏𝐒 𝐉𝐮𝐥𝐢𝐮𝐬 𝐁𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐬𝐚𝐲𝐬.

MWANAUME AUAWA BAADA YA KUMUUA MKEWE NA KUPIKIA WATOTO WAO NYAMA YAKE.Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka hamsini kutoka...
03/07/2025

MWANAUME AUAWA BAADA YA KUMUUA MKEWE NA KUPIKIA WATOTO WAO NYAMA YAKE.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka hamsini kutoka kijiji cha Emonga, eneo bunge la Mugirango kusini , kaunti ya Kisii, anaripotiwa kumuua mkewe kwa kumkatakata kwa panga karibu wiki moja iliyopita.

Kwa mujibu wa majirani na viongozi wa kijiji hicho, mshukiwa huyo alitekeleza unyama huo na kisha kuendelea na maisha kana kwamba hakuna kilichotokea. Inadaiwa kwamba baada ya mauaji hayo, mwanaume huyo alimnajisi binti yake mwenye umri wa miaka kumi na minne ambaye ni mwanafunzi wa daraja la nne.

Katika hali ya kushangaza na ya kutisha, inasemekana kuwa mzee huyo aliwachemshia watoto wake nyama ya aliyekuwa mkewe, na watoto hao waliikula bila kujua kuwa walikuwa wanakula nyama ya mama yao.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hifadhi ya maiti ya Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Kisii ukisubiri kufanyiwa upasuaji wa maiti.
Wakazi hao walimteketeza jamaa huyo kufuatia kisa hicho. Aidha,Wakazi wa eneo hilo wameelezea mshtuko na masikitiko makubwa, wakisema kuwa hawakuwahi kudhani kuwa mzee huyo alikuwa na tabia za kikatili kiasi hicho. Wametaka serikali kuchukua hatua kali ili kuzuia visa k**a hivyo visijirudie.

Address

Kmdafricavisionnetwork@gmail. Com
Kericho

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KMD Africa Vision Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share