TV Banza Media

Bando_TZ ametoa taarifa yenye maelezo matatu (PART 1, 2 & 3) akieleza kwa uchungu kushindwa kwa ushirikiano kati yake na...
08/08/2025

Bando_TZ ametoa taarifa yenye maelezo matatu (PART 1, 2 & 3) akieleza kwa uchungu kushindwa kwa ushirikiano kati yake na msanii Ibraah kuhusu project ya wimbo "Oyaa Weeh".

Swipe ⬅️

Kikundi cha dansi ThePopBoys kimeibuka mshindi wa challenge ya wimbo “Kelebu” wa Rema na kujishindia zawadi ya dola 10,0...
08/08/2025

Kikundi cha dansi ThePopBoys kimeibuka mshindi wa challenge ya wimbo “Kelebu” wa Rema na kujishindia zawadi ya dola 10,000. Rema mwenyewe alitangaza ushindi huo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akiwapongeza kwa ubunifu na umahiri wao kwenye dansi. Challenge hiyo imekuwa maarufu duniani, ikivutia maelfu ya washiriki mitandaoni.

Swipe ⬅️

Wasanii watatu maarufu barani Afrika — Jux kutoka Tanzania, Qing Madi kutoka Nigeria, na Didi B kutoka Ivory Coast — wan...
08/08/2025

Wasanii watatu maarufu barani Afrika — Jux kutoka Tanzania, Qing Madi kutoka Nigeria, na Didi B kutoka Ivory Coast — wanatarajiwa kuachia collabo yao mpya ifikapo August 15, 2025. Teaser ya wimbo huo tayari imeibua gumzo mitandaoni, ikionyesha wasanii hao wakipigiana simu kwa msisimko mkubwa, huku kila mmoja akimweleza mwenzake kuwa kuna jambo kubwa linakuja.

Hata hivyo, wengi wameanza kujiuliza k**a mbinu hii ya kiutambulisho ni mpya, au ni kuiiga ile ya Wasafi Classic Baby (WCB). Mnamo mwaka 2018, wasanii Diamond Platnumz, Mbosso na Lava Lava walitumia mbinu k**a hiyo kutambulisha ngoma yao ya Jibebe—wakionekana wakipigiana simu kwa staili ya kushtukiza, hali iliyoacha mashabiki katika hali ya hamu kubwa ya kujua kinachoendelea.

Kutokana na ufanano huo wa kimawazo, swali linabaki: je, Jux, Qing Madi na Didi B wameiga wazo la Wasafi, au ni mawazo yaliyogongana tu bila kusudi?

Katika sanaa, hasa kwenye burudani ya kisasa, si jambo la kushangaza kuona wasanii wakitumia mbinu zinazofanana ili kuvutia mashabiki. Hii inaweza kuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kwa namna ya ubunifu au pia kuwa sehemu ya mabadiliko ya kawaida ya mitindo ya uwasilishaji.

Swipe ⬅️

Baada ya miaka 5 tangu ngoma yao ya pamoja Pepeta, msanii Nora Fateni amemvuta tena Rayvanny kushirikiana kwenye remix m...
07/08/2025

Baada ya miaka 5 tangu ngoma yao ya pamoja Pepeta, msanii Nora Fateni amemvuta tena Rayvanny kushirikiana kwenye remix mpya ya wimbo Tetema.

Wimbo wa Tetema ulitoka miaka 6 iliyopita ukimshirikisha Diamond Platnumz na ukawa moja ya nyimbo kubwa kutoka Afrika. Tangu wakati huo, Rayvanny amefanya remix nyingi za wimbo huo akiwashirikisha wasanii mbalimbali wa kimataifa k**a Patoranking, Zlatan, Pitbull, na wengineo.

Sasa, remix nyingine ya Tetema inakuja, safari hii ikiwa na ladha mpya kutoka kwa Nora Fateni na Rayvanny, hatua inayowafanya mashabiki kutarajia kitu kikubwa zaidi.

Swipe ⬅️

Bongo Fleva star  is set to release a new track titled "LOCA" featuring  🇳🇬 and  🇨🇮.The song drops officially on August ...
06/08/2025

Bongo Fleva star is set to release a new track titled "LOCA" featuring 🇳🇬 and 🇨🇮.
The song drops officially on August 15 – don’t miss it!

________________ SWAHILI _______________

Msanii wa Bongo Fleva, , ametangaza kuachia rasmi wimbo wake mpya uitwao "LOCA" ifikapo tarehe 15 Agosti.

Wimbo huo ni collaboration ya kimataifa akiwa amewashirikisha wasanii wawili kutoka Nigeria na Ivory Coast, ambao ni 🇳🇬 na 🇨🇮.

Swipe ⬅️

Follow us for more content

Zari ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti video kwenye Snapchat ikimuonyesha akiwa na tumbo la ujauzito. Haijulikan...
06/08/2025

Zari ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti video kwenye Snapchat ikimuonyesha akiwa na tumbo la ujauzito. Haijulikani k**a ni mimba ya kweli au kiki. Wakati huohuo, yeye na Shakib wamefutana Instagram, jambo lililoibua tetesi za mgogoro kati yao.

Swipe ⬅️

1. Repost kwenye ProfilePost zote utakazorepost zitaonekana kwenye tab mpya ya Reposts kwenye profile yako.2. Ujumbe wa ...
06/08/2025

1. Repost kwenye Profile
Post zote utakazorepost zitaonekana kwenye tab mpya ya Reposts kwenye profile yako.

2. Ujumbe wa Repost
Unaweza kuandika ujumbe mfupi kwenye kila repost, ambao utaonekana kwenye profile yako.

3. Mahali pa Repost
Sehemu ya Repost iko karibu na sehemu ya comments.

4. Repost Rasmi kwa Watumiaji Wote
Watumiaji sasa wanaweza ku-repost post za watu wengine moja kwa moja kupitia Instagram.

Swipe ⬅️

“Najua nina watoto lakini pia najua baadhi si wangu wa damu, lakini sitaki kubishana na mama yao, hivyo nawatunza wote,”...
06/08/2025

“Najua nina watoto lakini pia najua baadhi si wangu wa damu, lakini sitaki kubishana na mama yao, hivyo nawatunza wote,” alisema Diamond Platnumz.

🎥 Chanzo: iheartradio

Swipe ⬅️

Swali: Ukipewa nafasi ya kuhudhuria show ya kundi moja tu – utaenda wapi? 👀Swipe ⬅️
05/08/2025

Swali: Ukipewa nafasi ya kuhudhuria show ya kundi moja tu – utaenda wapi? 👀

Swipe ⬅️

Swali: Ukipewa nafasi ya kuhudhuria show ya kundi moja tu – utaenda wapi? 👀Let's Go
05/08/2025

Swali: Ukipewa nafasi ya kuhudhuria show ya kundi moja tu – utaenda wapi? 👀

Let's Go

Chimano amemwomba Bien amshirikishe kwenye kazi ya muziki, akieleza kuwa amekuwa akijaribu kumfikia bila mafanikio."Bien...
05/08/2025

Chimano amemwomba Bien amshirikishe kwenye kazi ya muziki, akieleza kuwa amekuwa akijaribu kumfikia bila mafanikio.
"Bien nipigie, nimekuwa nikijaribu kukupata. Nilidhani sisi ni ndugu," alisema Chimano kwa hisia.

🎥Chanzo: Okay Africa

Swipe ⬅️

Msanii nguli wa Marekani Chris Brown ametangaza kuwa albamu yake ya 12 huenda ikaitwa “BROWN”. Kupitia Instagram, alicha...
05/08/2025

Msanii nguli wa Marekani Chris Brown ametangaza kuwa albamu yake ya 12 huenda ikaitwa “BROWN”. Kupitia Instagram, alichapisha video ya wimbo mpya “Holy Blindfold” na kuandika:
“Nadhani nitaipa albamu hii jina la .”

Ingawa hajatangaza tarehe rasmi ya kutoka kwa albamu hiyo, mashabiki wake wanaisubiri kwa hamu. Albamu hii itafuata ile ya mwisho “11:11” iliyotoka Novemba 10, 2023.
Swipe ⬅️

Address

Kiambu Road
Kiambu Road
1234

Telephone

+254745736132

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TV Banza Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TV Banza Media:

Share