08/05/2026
"Gachagua amekaranga Kalonzo na Matiangi, Gachagua aliona hawa wengine wanamtegemea yeye azunguke Mt Kenya yote awatafutie kura na wao hakuna kitu wanafanya. Sahii Gachagua pia ameamua kujitafutia urais ameanza kupiga campaign zake akiwa pekee yake amerusha nje kina Matiangi." Kenyan man says. See less