02/09/2025
                                            Sahizi watu wamechoka, watu hawana time ya kuwekwa parking... Kila mtu anataka ajue ka anapendwa ama hapendwi... People are busy, tired and mature... K**a hauyuko serious na mtu, kindly let them go... Hakuna mtu akona time ya kuwaste kwa relationship, k**a haumtaki mtu wacha kuwaste time zake, stop sending mixed signals to people who really want something real.... You are wasting their time and energy.. No one wants to wait around wondering if they are important or not. K**a unapenda mtu mwambie... K**a haumpendi pia mwambie... Wewe baki na hao unataka kuchezea... Wale wako serious wanajua worth Yao...