Blogger ke

Blogger ke Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Blogger ke, Digital creator, 0746857118, Kikuyu.

😭😭 When I see people giving testimonies on how they met their life partners here on Facebook , I wonder if I downloaded ...
28/03/2024

😭😭 When I see people giving testimonies on how they met their life partners here on Facebook , I wonder if I downloaded the wrong Facebook🤣🤣

Nilienda kinyozi jana  nimecheka karibu nifukuzwe🤣🤣🤣🤣Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura...
28/03/2024

Nilienda kinyozi jana nimecheka karibu nifukuzwe🤣🤣🤣🤣
Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura kuweza😋😋😋 aisee hio ilikua figure na sura zilikua zimeenda kidato😜😜😜 sasa mzee fulani kipara alikua ananyolewa zile nywele zinakuaga kando ya kipara nikaskia amesema🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Wow!! Madam unakaa mrembo sana😋😋
Mrembo: Asante🙂🙂
Mzee kipara: Unatoka wapi hii kenya yetu??🤔🤔
Mrembo: Naishi hukutu karibu na center 🙂🙂🙂
Mzee kipara: Naweza kupeleka out siku moja🤔🤔
Mrembo akanua mkono juu kuonyesha mzee kipara pete ndio ajue yeye ameolewa lakini kabla amalize kuinua mkono mzee kipara akamwambia🤫🤫🤫🤫
Mzee kipara: Ata mimi niko na bibi lakini nataka tukutane tukule mali polepole😋😋
Mrembo: Nitaambia bwanangu naenda wapi hio siku?🤔🤔🤔
Mzee kipara: Utamwambia umeenda injiri ndio neno lifikie walio mbali na kanisa lenu🤣🤣🤣🤣
Mrembo: Ebu mwambie hivo wewe mwenyewe🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Tutapatana wapi na hio nugu yako niiambie hivo🤣🤣🤣
Mrembo: Hayuko mbali ndio huyo anakunyoa🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Unajua nakuaga mwenda wazimu usichukue maneno yangu serious 😭😭😭😭😂😂🤣🤣

Address

0746857118
Kikuyu

Telephone

+254746857118

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blogger ke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Blogger ke:

Share