COCO TV

COCO TV We are a dynamic media company specializing in digital content creation, broadcasting, and storytelling.

We deliver cutting-edge news, entertainment, and educational content across various platforms.

03/06/2026

MAHAKAMA YA KILIFI YAWATUPA GEREZANI WASHTAKIWA ZAIDI YA 10

Mahakama ya Kilifi imetoa hukumu kwa washtakiwa zaidi ya 10 waliowasilishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali
ikiwemo kesi za unajisi na makosa ya jinai.

Katika vikao vya Mahakama, hakimu Ivy Wasike ametoa hukumu hizo huku wengine wakifungwa kwa zaidi ya miaka 30 gerezani.



28/05/2026

PENGO KATIKA UHAMASISHAJI WA AFYA YA UZAZI KILIFI

Idadi kubwa ya wanawake na wasichana katika kaunti ya Kilifi bado hawajahamasishwa vilivyo kuhusu masuala ya afya ya uzazi na haki yao ya kupata huduma bora ya afya hasa katika maeneo ya mashinani.



25/05/2026

ZIARA YA RAIS RUTO PWANI YASHEHENI AHADI NONO

Zaira ya rais William Ruto ya siku tano katika ukanda wa Pwani imeonekana kuwa na ahadi nono kwa wenyeji za zaidi ya takribani shilingi bilioni 85



22/05/2026

JE, RAIS RUTO ATAMALIZA MIZOZO YA ARDHI PWANI AU NI SIASA?

Rais William Samoei Ruto ameendeleza kauli yake kuwa atahakisha migogoro ya ardhi ukanda wa pwani inapata suluhu la kudumu kupitia ugavi wa hatimiliki za ardhi kwa wamiliki halali.



21/05/2026

WAKAAZI WENGI WA KILIFI HAWASHIRIKI VIKAO VYA KUTOA MAONI

Idadi kubwa ya wanawake na vijana katika kaunti ya Kilifi hawashiriki vikao vya kutoa maoni na pia hawajahamasishwa vilivyo kuhusiana na masuala ya uongozi, uundaji wa bajeti na sera katika serikali ya kaunti.



21/05/2026

RAIS RUTO AKABIDHI HATI MILIKI ZAIDI YA ELFU 33 KWA WAPWANI

Rais William Ruto ameongoza zoezi la kuwakabidhi wakaazi wa pwani hati miliki za ardhi 33,000 katika juhudi za kutatua tatizo la uskwota, ambalo limekuwa donda sugu kwa mda mrefu.

Kiongozi wa taifa amedokeza kuwa tatizo la uskwota pwani limekuwa likichangiwa pakubwa na hatua ya wamiliki wa ardhi wasiokuwepo, huku wakaazi wakisalia kuishi katika ardhi hizo bila hati miliki.



Se

Address

Mtaani
Kilifi
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when COCO TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share