16/05/2026
Msanii Mtemi Afrika aweka historia mpya kwenye mziki wake baada ya nyimbo yake aliyomshirikisha Kamanda Bushi wa kundi la Makamanda kuingia TRENDING katika mtandao wa YouTube! Nyimbo hiyo inayokwenda kwa jina HAUKO READY inazidi kufanya vizuri ikiwa na zaidi ya watazamaji elfu 74+ ikishikilia nambari 27 katika mtandao wa YouTube, zaidi Mtemi amewashukuru mashabiki na wadau l