
09/09/2025
Paris Mapenzi Safari, mmoja wa wananasoka ambao wamesafiri kule Huesca Nchini Uhispania kwa mazoezi ya wiki nzima katika kikosi cha Chapa Dimba na Safaricom.
Mapenzi ni mzawa wa Wakala huko Marafa eneo bunge la Magarini, Kaunti ya Kilifi, akicheza k**a beki shoto/kulia. Akiwa mtaani anapewa makali yake na kocha Harrison Karabu huku Gerald Mangale akiwa k**a meneja wake katika klabu ya Wakala City Starlets.
Kila lakheri🙌🙏