05/05/2025
                                            “Gachagua Amchana Ruto Hadharani: 'Ukitusi Uhuru, Usikanyage Mt Kenya!'”
Drama kubwa ya kisiasa imetokea! Gachagua kwa mara ya kwanza anamvaa Rais Ruto mbele ya umati mkubwa – akimtaka aache mara moja kudhalilisha Uhuru Kenyatta.
Je, hii ni dalili ya kuvunjika kwa Kenya Kwanza?
Tazama video kamili hapa na tuambie maoni yako!
Watch Now: https://youtu.be/bzUeYw1ZuN8?si=GvkR-uNukJlJEbti
                                                     
Katika video hii ya kusisimua, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemvaa Rais William Ruto hadharani kwa maneno makali, akimtaka aache mara moja kumtusi ...