Orbit News

Orbit News Blogging, News

11/02/2026

Divide and rule principal applied successfully.

Hi! nlipeleka mdogo wangu Dzitsoni secondary, nikaambiwa fees per term ni 23k nikawa niko na 15k nikaregeshwa na mtoto, ...
22/01/2026

Hi! nlipeleka mdogo wangu Dzitsoni secondary, nikaambiwa fees per term ni 23k nikawa niko na 15k nikaregeshwa na mtoto, ati nitafute ifike 20k ndo mtoto asajiliwe ,ok labda sijui, ila wazazi waliopeleka watoto miaka iliyopita wanaweza kueleza. Walimu wanalazimisha pia ulipe tuition. Imagine umepambana na shopping navanamala ambayo imegarimu almost vitu vya 30k, hiyo ni grade 10.
Je shule zingine ziko hivyo ama ni dzitsoni pekeyake?
Hon Ken Nyale

21/01/2026
16/01/2026

Kaloleni, Gotani, Viragoni, Kabatheni, Nzovuni, Bamba, Kathengwani, Jila hadi Mrima wa Ndege , hii ni barabara ya Serikali Kuu.
Kwa bajeti ya 2007/2008, barabara hii ilitengewa zaidi ya KSh 34 bilioni ili iwekwe lami.
Kwenye karatasi za serikali, barabara ilijengwa.
Lakini kwa ground? Ukweli ni mchungu
Leo hii, kutoka Kaloleni hadi Bamba, magari hayapiti ni pikipiki tu.
Wagonjwa wanateseka, wanafunzi wanachelewa, wafanyabiashara wanapata hasara, na wananchi wanaishi k**a hawako Kenya ya leo.

15/01/2026

Undaisagarira vivi.

Unfortunately DSS did not take even a single student to university.They should revert to the previous modes to accommoda...
15/01/2026

Unfortunately DSS did not take even a single student to university.
They should revert to the previous modes to accommodate local bright students who will uplift the level of education and restore dignity to the school.

Zero Drowning Fatalities Reported on New Year’s Day Beaches The Coast Sea Survival Rescue Team & Lifeguard Training Skil...
03/01/2026

Zero Drowning Fatalities Reported on New Year’s Day Beaches

The Coast Sea Survival Rescue Team & Lifeguard Training Skills Has Reported A Successful X-Mas & New Year’s Day Festive Season At Kilifi County Beaches , With Zero Drowning Fatalities Recorded During One Of The Most Demanding Periods Of The Festive Season, A Time Traditionally Linked With High Drowning Risks.

According To The Founder Of Rescue Team In Kilifi County & Coast Region At Large, " PC Diver Kibwana on 25th December & 1st January Are Among The Most Dangerous Days Due To High Rates Of Drownings Incidents At The Beaches & Swimming Pools.
However, Despite Large Crowds Of Beachgoers, The Coast Sea Survival Rescue Team & Lifeguard Training Skills Prevent Fatal Incidents While On duty.

Address

Kilifi
Kilifi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Orbit News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Orbit News:

Shortcuts

Share