18/11/2025
Umoja wa Rastafari waishio Kenya mwanzoni uliwasilisha maombi ya mswada wa kisheria kutumika kwa Bhangi nchini humo.
Mapema hii leo wamefika katika mahak**a kuu ya Milimani iliyopo jijini Nairobi kutetea hoja za madai yao kuhalalishwa kwa Bhangi wakidai ni sehemu ya tamaduni zao pindi wanapofanya maombi na sherehe nyingine za kitamaduni katika jamii ya Rastafari.