RAHAI MEDIA

RAHAI MEDIA WELCOME TO RAHAI IT’S A MEDIA PLATFORM WICH PROVIDES YOU WITH LOCAL AND INTERNATIONAL NEWS.

Je, unafahamu kwamba katiba ya Kenya inaruhusu mashoga kuanzisha familia na kuishi pamoja, bila kufunga ndoa?Jaji wa Mah...
29/04/2026

Je, unafahamu kwamba katiba ya Kenya inaruhusu mashoga kuanzisha familia na kuishi pamoja, bila kufunga ndoa?

Jaji wa Mahak**a ya Rufani alifikia hitimisho hili kwa kutumia mwanya katika katiba ambao haufafanui familia ni nini.

Kulingana na Katiba ya Kenya:

Huwezi kupata cheti cha ndoa kwa muungano wa jinsia moja (sheria iko wazi).

Lakini hakuna chochote katika Katiba kinachokataza wazi watu wawili wa jinsia moja kuunda kitengo cha familia (kwa mfano, kuishi pamoja na kulea watoto).

Maoni yako 🧐

Muda wowote kutoka sasa utakutana hewani na collabo ya msanii   akimshirikisha mkongwe wa muziki hapa Pwani  🔥🔥
29/04/2026

Muda wowote kutoka sasa utakutana hewani na collabo ya msanii akimshirikisha mkongwe wa muziki hapa Pwani
🔥🔥

Mahak**a ya rufaa ya Kenya imebatilisha uamuzi wa mwaka 2022 wa Mahak**a Kuu uliokuwa umetambua upatikanaji wa utoaji Mi...
25/04/2026

Mahak**a ya rufaa ya Kenya imebatilisha uamuzi wa mwaka 2022 wa Mahak**a Kuu uliokuwa umetambua upatikanaji wa utoaji Mimba k**a haki ya Kikatiba.

Kesi hiyo ilianza baada ya Msichana mmoja kutafuta huduma ya hospitali kufuatia matatizo ya ujauzito. Daktari aliyemhudumia alibaini kuwa tayari alikuwa amepoteza ujauzito na akampa huduma ya dharura baada ya utoaji mimba. Wote wawili waliwahi kushtakiwa lakini baadaye wakaachiliwa huru na Mahak**a Kuu.

Katika uamuzi wake mpya, Mahak**a ya rufaa ilisema kuwa utoaji Mimba si haki ya msingi chini ya katiba ya Kenya. Ilisisitiza kuwa bado ni marufuku isipokuwa katika hali maalum, k**a pale mhudumu wa afya aliyefunzwa anapopendekeza k**a matibabu ya dharura ili kuokoa maisha au afya ya mjamzito.

Sheria ya adhabu ya Kenya inataja k**a kosa la jinai kwa utoaji mimba, ikiwa na adhabu ya hadi miaka 14 jela. Hata hivyo, Katiba inaruhusu utoaji Mimba katika mazingira maalum ya kitabibu.

Uamuzi huu unatarajiwa kuibua mjadala mpana kuhusu haki za uzazi, sheria na afya ya umma hapa nchini.

Nini maoni yako?

Dakika chache zimesalia saa nane kamili hii leo kundi la mziki kutoka Rabai, Mizizi Band watakuwa live Pwani FM.Unakipi ...
25/04/2026

Dakika chache zimesalia saa nane kamili hii leo kundi la mziki kutoka Rabai, Mizizi Band watakuwa live Pwani FM.

Unakipi chakuwambia?

Waziri wa Congo Brazzaville Makosso ameteuliwa kuwa waziri baada ya kujiuzulu uwazuri siku nne zilizopita.
24/04/2026

Waziri wa Congo Brazzaville Makosso ameteuliwa kuwa waziri baada ya kujiuzulu uwazuri siku nne zilizopita.

Muwaniaji kiti cha MCA Rabai Constituency wadi ya Kambe/Ribe.Una mzungumziaje
22/04/2026

Muwaniaji kiti cha MCA Rabai Constituency wadi ya Kambe/Ribe.
Una mzungumziaje

16/04/2026

Shirika linalosimamia haki za mziki The Kenya Copyright Board (KECOBO) limetoa malipo mapya kwa wahitaji wa kutumia nyimbo sehemu tofauti tofauti ambapo malipo hayo yanatafanya kazi mpaka 2028.

Malipo hayo yanawalenga watumiaji wa mziki k**a DJs, wafanya biashara kwenye maeneo yao na wenye vituo vya habari.

Marekebisho ya malipo hayo DJs wanatakiwa kulipia kibali kwa garama ya 30,000 kwa muda wa miaka miwili au 1,000 kwa kila event kuruhusiwa kucheza mziki.
Shule za kujifunza muziki pamoja na aina yoyote ya chuo kinachohusu uimbaji vinatakiwa kulipia angalau 20,000.

Malipo hayo pia yamegusia sehemu mbalimbali ambapo ni pamoja na Nightclubs, Casino, Bars, Restaurants, Hetels na AirBnBs watatakiwa kulipa asilimia 60% ya malipo yao kwa permit ya biashara.

Private member’s clubs wanatakiwa kulipia mpaka 100,000 kwa hapa mjini na 75,000 maeneo mengine.

Concert organisers wanatakiwa kulipia 50,000 kwa local events na 100,000 kwa international events, huku live bands na watumbuizaji watatakiwa kulipa 50,000 hapa mjini na 20,000 maeneo mengine.

Vituo vya habari wanahitajika kulipia mpaka asilimia 4% ya kipato chao ambapo kwa 500,000 kwa national radio na 400,000 national TV.

Watumiaji wengine supermarkets, salons na magari watalipia kulingana na ukubwa wa biashara na pesa ya chini kabisa watalipia 3,000.

Follow RAHAI MEDIA

16/04/2026

DP Kithure Kindiki at Rabai Sub-County in Kilifi County.

Umoja wa Rastafari waishio Kenya mwanzoni uliwasilisha maombi ya mswada wa kisheria kutumika kwa Bhangi nchini humo.Mape...
18/11/2025

Umoja wa Rastafari waishio Kenya mwanzoni uliwasilisha maombi ya mswada wa kisheria kutumika kwa Bhangi nchini humo.

Mapema hii leo wamefika katika mahak**a kuu ya Milimani iliyopo jijini Nairobi kutetea hoja za madai yao kuhalalishwa kwa Bhangi wakidai ni sehemu ya tamaduni zao pindi wanapofanya maombi na sherehe nyingine za kitamaduni katika jamii ya Rastafari.

Address

Kilifi

Telephone

+254793772989

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RAHAI MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share