Mangi Yaa

Mangi Yaa Ruthless focus

Vision ya mwanzo mpya
27/10/2025

Vision ya mwanzo mpya

Kila siku ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa bora zaidi.Magarini by-election must be the turning point ✊🏼Kijana mpka Bun...
27/10/2025

Kila siku ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa bora zaidi.
Magarini by-election must be the turning point ✊🏼
Kijana mpka Bunge ✊🏼
Wakazi wa Tangini ,ward ya Marafa wamesema mwanzo mpya ✊🏼kijana mpka Bunge.
Amos katana is the real change✊🏼

Siku mpya ni zawadi kutoka kwa Mungu ishara kwamba bado una nafasi ya kupigania ndoto zako. Usiiamkie dunia ukiwa na man...
27/10/2025

Siku mpya ni zawadi kutoka kwa Mungu ishara kwamba bado una nafasi ya kupigania ndoto zako. Usiiamkie dunia ukiwa na manung’uniko, amka ukiwa na ari. Kila jua linapochomoza, linakukumbusha kwamba jana imepita, na leo ni ukurasa mpya wa mafanikio.
Kumbuka, Mungu hakupi unachotaja kwa midomo, bali anakupa unachostahili kwa juhudi zako. Maombi bila kazi ni k**a mbegu isiyopandwa; ina matumaini, lakini abadan haitaota. Kwa hivyo jitume, vumilia, na endelea kupigania ndoto zako bila kukata tamaa.
Kila tone la jasho ni ushuhuda wa imani yako katika kesho njema.!! Pambana kwa bidii, kwa maana baraka za Mungu hupatikana mikononi mwa wanaojituma ,si wanaolalamika!

Eric Sen Mangi 2027
Marafa is the deal 👌
Mca marafa ward
Eric Sen

26/10/2025
May your weekend be filled with joy, good health, and positive energy as we continue walking this journey of transformat...
24/10/2025

May your weekend be filled with joy, good health, and positive energy as we continue walking this journey of transformation together.

Have a blessed and productive weekend.
Mangi Yaa ..
Aspirant, MCA Marafa Ward 2027

24/10/2025

��

Old vibes, golden memories.😅Hapa napo ukiona uko na credit leo😅
23/10/2025

Old vibes, golden memories.😅
Hapa napo ukiona uko na credit leo😅

23/10/2025

Happy follow-versary to my awesome followers. Thanks for all your support! Morris Mpathe

Today, I officially announce my decision to vie for the position of Member of County Assembly (MCA) in the 2027 general ...
22/10/2025

Today, I officially announce my decision to vie for the position of Member of County Assembly (MCA) in the 2027 general elections. This marks the beginning of a new chapter in our shared journey towards progress, accountability, and better leadership for our people. I am stepping forward with a clear vision — to empower our community, improve development at the grassroots, and ensure every voice in our ward is heard and represented. With humility, determination, and faith in God, I am ready to serve the people and work hand in hand with all who believe in positive change. Together, we can build a brighter future for our ward."

for MCA Marafa
2027 Must be the turning point
Ruthless focus
# for Mca 2027 Marafa ward

Kila siku amka pambana mbele kuzurii👊👊✊️
22/10/2025

Kila siku amka pambana mbele kuzurii👊👊✊️

Address

Kilifi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mangi Yaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mangi Yaa:

Share