Chenda Fm 106.2

  • Home
  • Chenda Fm 106.2

Chenda Fm 106.2 It's a community Radio station broadcasting in Mijikenda and swahili domiciled in Kilifi county
(1)

Agizo la William Samoei Ruto kwa maafisa wa usalama.RAIS William Ruto ametaka waporaji na wachomaji biashara za watu was...
09/07/2025

Agizo la William Samoei Ruto kwa maafisa wa usalama.
RAIS William Ruto ametaka waporaji na wachomaji biashara za watu washughulikiwe kwa kupigwa risasi mguuni ila polisi wahakikishe hawawatoi uhai.
Chenda Fm 106.2

FAMILIA ya Brian Kimutai, mwandamanaji mwenye umri wa miaka 21, anayedaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa m...
08/07/2025

FAMILIA ya Brian Kimutai, mwandamanaji mwenye umri wa miaka 21, anayedaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano ya Saba Saba hapo jana Kitengela, ilikwama na mwili wake ndani ya gari katika mochari ya Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Kitengela kwa masaa kadhaa baada ya usimamizi wa hospitali hiyo kukataa kuupokea mwili huo.

Mahak**a kuu mjini malindi imemtaka Hon Teddy Mwambire kurudi kazini k**a spika wa mbuge la kilifi.Jaji wa Mahak**a hiyo...
08/07/2025

Mahak**a kuu mjini malindi imemtaka Hon Teddy Mwambire kurudi kazini k**a spika wa mbuge la kilifi.

Jaji wa Mahak**a hiyo J. N Njagi ametoa agizo hilo na kufutilia mbali hatua ya Karani wa bunge hilo kuchapisha katika gazeti rasmi la serikali la kutangaza nafasi hiyo kuwa wazi hadi kesi hiyo itakaposikiliza na kuamuliwa.

 Mshambuliaji wa Liverpool Jota ameaga dunia 😢.Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota ameaga dunia leo baada ya kuhusika k...
03/07/2025



Mshambuliaji wa Liverpool Jota ameaga dunia 😢.

Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota ameaga dunia leo baada ya kuhusika kwenye ajali.

Jota mwenye miaka 28 na kakake mdogo mwenye miaka 26 wote wameaga dunia.

Kifo cha Jota kimejiri siku kadhaa baada ya kufunga ndoa.

Rais wa shirikisho la soka nchini Portugal amethibitisha.

RIP Jota inaskitisha sana 😭.

Hawa ndio wabunge 20 wanaoongoza kwa utendaji kazi kulingana na Leeway African.Unampa asilia ngapi mbunge wako kwa utend...
02/07/2025

Hawa ndio wabunge 20 wanaoongoza kwa utendaji kazi kulingana na Leeway African.
Unampa asilia ngapi mbunge wako kwa utendaji wake toka aingie uongozini?

Ikiwa katiba ya Kenya inaruhusu maandamano ili kushinikiza jambo fulani, je sasa itakuaje kwa Sheria mpya iliyotolewa?Ch...
02/07/2025

Ikiwa katiba ya Kenya inaruhusu maandamano ili kushinikiza jambo fulani, je sasa itakuaje kwa Sheria mpya iliyotolewa?
Chenda Fm 106.2

Kwenye magazeti leo habari zilizokolezewa wino, maoni yako ni gani?
01/07/2025

Kwenye magazeti leo habari zilizokolezewa wino, maoni yako ni gani?

Spika wa bunge la kaunti ya kilifi Teddy Mwambire amebanduliwa rasmi mamlakani k**a spika wa bunge la kaunti ya hiyo. Hi...
30/06/2025

Spika wa bunge la kaunti ya kilifi Teddy Mwambire amebanduliwa rasmi mamlakani k**a spika wa bunge la kaunti ya hiyo.
Hii ni baada ya wawakilishi wadi 40 kupiga kura ya kuunga mkono mswada wa kumbandua mamlakani huku wawakilishi wadi 10 wakipiga kura ya kutounga mkono hoja hiyo.
Hon Teddy Mwambire

Bonface Mwangi Kariuki amefarikiFamilia imethibitisha kuwa Bonface (Muuza barakoa) aliyepigwa risasi wakati wa maandaman...
30/06/2025

Bonface Mwangi Kariuki amefariki

Familia imethibitisha kuwa Bonface (Muuza barakoa) aliyepigwa risasi wakati wa maandamano amefariki mchana wa leo akiwa hospitalini.

Udzasindadze mwana Chenda, karibu kwenye kipindi cha HURIRA 5-8pm na Kivorya Junior.Rero nakuza vino kwenye Elimu ya Kim...
30/06/2025

Udzasindadze mwana Chenda, karibu kwenye kipindi cha HURIRA 5-8pm na Kivorya Junior.

Rero nakuza vino kwenye Elimu ya Kimidzi, KURONGA nikuhendadze.

Unahurira kumbolahi na unamuhuriza hani dziloni ya rero.

CALL/SMS
0793 111 444
0101 111 444

Umwenga wehu ni nguvu yehu.

30/06/2025

Hon. Aisha Jumwa Katana afungua rasmi Ligi ya walimu kaunti ya kilifi na kuahidi mshindi uenda nyumbani na kitita cha nusu milioni.
Michuano hiyo itachukua takribani miezi minane kukamilika.

"Tutamchagua William Ruto kwa muhula mwingine kwa sababu amefanya mengi zaidi katika miaka 2 kuliko yale aliyofanya Uhur...
30/06/2025

"Tutamchagua William Ruto kwa muhula mwingine kwa sababu amefanya mengi zaidi katika miaka 2 kuliko yale aliyofanya Uhuru Kenyatta katika miaka 10," ni useme wake Aden Duale

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chenda Fm 106.2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chenda Fm 106.2:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share