
28/03/2025
ππππ π
Eddy alikuja akaambia Neema,mbona umevaa unakubali proposal ring na unajua nimerudi,we are supposed to be together as a family..yani mwaka mmoja tu ushapata boyfriend? Neema akamwambia yoh! Ni fiance si boyfriend,Mark ni my fiance ama hunioni na ring...kisha Neema akamwambia,heri mimi imenichukua mwaka kuwa na boyfriend,what of you mwenye ulikua na dem yako just the same day ulitoka kwangu? Eddy alijaribu kujitetea lakini Neema akamwambia sikiza Eddy Samuel,uko na uhuru wa kuona watoto wako venye unataka but for me,iam Mark's property na uache kuingilia maisha yangu na Mark. Neema alimfungia Eddy mlango nje! Sina,wakati wako.
Jojo amemngoja mamake,akamuuliza,what's this,unapewa ring na bado uko married? Neema akamwambia yoh, sikujua yafaa nikuombe ruhusa..mimi na Mark tunapendana and nothing will change,get use that as early as now. Jojo alaimwamba k**a ni hivyo,then mimi na Ian tunatoka hapa..Neema alimwambia I already have your custody,na hakuna pahali mnaenda,period! Jojo aliambia mamake,iam already 18yrs so ia good to go...
Neema aliona ooh,so sitabishana na haka,kaende tu!
Huku hosi Lari aliambia Solomoni,yeye hajui kwenye Cate anakaa but Solomoni akasema na hiyo mimba lazima hakai mbali...
Babu alicall Neema kuuliza k**a watoto washarudi na Neema akaconfirm yeah, watoto washarudi. Babu Jay akamuuliza k**a waliletwa na Eddy,na Neema akamwambia yeah but akaambia babake,yeye na Eddy ishaisha and mimi na Mark tunapanga wedding soon. Babu Jay akamwambia hata hivyo, mimi na wife wangu tumeamua hatuendi honeymoon hadi mumalize story za divorce.
Jojo walikuja kuongea na Val na akamwambia venye soon watamove in na baba yao and she is soo happy about it lakini Val akamwambia, hata k**a mnamove in sijui k**a umenotice mamako hataki kuwa na babako? Jojo anajua thats the truth but akaambia Val,this is the part huwa nakuambia,MYOBπππ
Siku iliyofuata,Mark alikuja akampata Tom akamwambia jana kulikua na shida kiasi,Cate alienda kumeet uncle Lari na ba