Malkia Lozi

Malkia Lozi Journalist,
Digital Creator
Content Creator
Fashion Brand Ambassador
Storyteller

Nikiamua kufunga macho hadi likes zifike 2K mko sure nitafungua leo kweli?
17/08/2026

Nikiamua kufunga macho hadi likes zifike 2K mko sure nitafungua leo kweli?

Good morning, my people. Just wanted to let you know that God is fighting your wars in silence. Keep on praying and trus...
17/08/2026

Good morning, my people. Just wanted to let you know that God is fighting your wars in silence. Keep on praying and trusting in Him

Nimeona niwakumbushe kuwa harusi yangu itakuwa August mwezi wa tano December.
16/08/2026

Nimeona niwakumbushe kuwa harusi yangu itakuwa August mwezi wa tano December.

Ukiona tu umeanza kukosana na watu jua sasa umeanza kutumia akili.
16/08/2026

Ukiona tu umeanza kukosana na watu jua sasa umeanza kutumia akili.

Wanaume siku hizi wanataka rich girlfriends, wee shinda hapo na skills za kupika
16/08/2026

Wanaume siku hizi wanataka rich girlfriends, wee shinda hapo na skills za kupika

Mzazi wako anakwambia hana pesa na anachanga mahela mengi kanisani
16/08/2026

Mzazi wako anakwambia hana pesa na anachanga mahela mengi kanisani

12/08/2026

Kumbe kuna perfume ya 10K Yaani unapata mtu anajipuliza INFINIX yako nzima

Apart from kukunywa maji kwa jug ni freedom gani ingine uko nayo ukiishi pekeyako!!
12/08/2026

Apart from kukunywa maji kwa jug ni freedom gani ingine uko nayo ukiishi pekeyako!!

Nani ananitaka kwa mara ya mwisho kabla sijawashtua jamani!!!
12/08/2026

Nani ananitaka kwa mara ya mwisho kabla sijawashtua jamani!!!

Address

Renatalozi98@gmail. Com
Kilifi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malkia Lozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share