07/12/2025
๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐-๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐ ๐
Tyrone ndio anatoka kuenda kazini,kufika sitting room,akapata kuna manguo za Tinah hapo zimetapakaa...kumbe ni nguo za Tinah. Saida pia ameshangaa ni za nani hizi. Tinah alikuja akaambia babake hizi ni zangu akaulizwa mbona ulete huku jamani? Tinah akamwambia tulia dad, nimeleta hapa ndio nizisort out nianze biashara kiasi za kuuza manguo. Tyron alicheka tu ๐๐akamuuliza so umeanza kuuza mitumba? Tinah akamwambia yeah, nanza kuuza at least I earn something.
Tyron hakutarajia Tinah wake anaeza fanya hivi hadi akauliza Saida how do you think? Saida akamwambia naona kazi safi lakini sikutarajia kitoto k**a Tinah kinaeza....Tinah akamwambia usiniite kitoto wewe ๐๐๐
Asha pia alipita hapo akienda shule akaacha Celle Mtumba aendelee na mitumba zake.
Celestine anafanya hivi only to earn her dad's trust hadi Saida akamuuliza, uko sure wewe ama ni mchezo unafanya ๐๐
On other side, Jemimah aliambia Robert,nataka unifanyie kazi,nataka unitolee Ivy kwa Chris. Robert akamwambia yoh,mimi aki usinieke kwa maneno ya ndoa yenu tafadhali,mimi mwenyewe sijaoa...but Jemimah akamwambia mimi shida yangu ni Ivy,she is going through alot. Hadi Jemimah akamwambia imagine if Ivy was your daughter? Robert akamuuliza so ukishachukua Ivy,what next? he will come to find out. Jemimah akamwambia usijali, I will have it under control.
Kumbe Asha na yeye ๐๐alidanganya ati anaenda shule lakini hakuna shule alienda,kalikuja direct hadi kwa Ray. Ray kumuona akamuuliza unataka nini huku? Asha akamwambia nimekuja kwa mpenzi wangu na huko sirudi tena. Ray akamwambia apana, babako alitaka kuniweka ndani ona venye nimegongwa na kusalimiwa na makarao,please rudi tu, lakini Asha akamwambia sirudi,Iam here to stay na siondoki. wueh ๐๐๐
Tyrone na yeye kufika kwa ofisi,alimpata Chris amekaa kwa ofisi yake,akamuuluza unafanya nini hapa? Chris akamwambia unajua Robert anatumia pesa vibaya kwa pombe na kwa wasi