20/10/2023
KAMAA'S DIARIES
MREFU THE MAN: PART 4
"....me and you won't make it to be lovers..." this statement ilizidi kujirudia kwa mind yangu. Sikutaka kuamini those words are from Mrefu. "What will i do... should i give up?.....No! I won't give up that easy"
It wasn't easy to give up on a guy like him. His picture, smile, biceps... vyote vilizidi kutawala mawazo yangu. He was someone's son, hawa ndio wale unaskianga God aliwacreate akiwa hana speed, ama waliteremshwa from heaven? He was every kuchu's dream.
Story za kumsahau hazikuwa kwa akili yangu. That night was too long kwangu, just thinking about him. Niliconclude that lazima nimeet naye anishow hivo face to face. It's not easy to loose someone you love virahisi hivo.
Next day kitu 3.p.m nililipia nduthi hadi side za kwao, though sikujua kwao specific. Nilipelekwa mpaka Jogoo estate... nikajiuliza, yes nimefika but nitampata aje? Nikajaribu kucall but number yake haikuenda through. Nikajua baaas kwisha mimi, bahati sina maskini mie. Lakini kidogo hivi, nikiwa nataka kurudi kwetu, naye kumbe ndio anaingia akiwa amesindikizwa na morio fulani. Hanioni bado. Bila aibu, huyo jamaa akampea hug ingine tight hadi nikaudhika. After that wakaagana, so akawa anataka kuingia boma fulani, then boom nikamuita. Hakufikiria naweza fika hapo juu hata kwao sikua najua.
Mrefu: Ni wewe tena?
Me: Yes, ni mimi...
Mrefu: Umefuata nini sasa?
Me: Just you...
Mrefu: Me? Nilikuambia akuna day tutamingle... na hakuna siku nitakufikiria
Me: Usifikirie ukiongea mbaya unanihurt. Infact nafeel poa. Na acha nikwambie, you see these guys wenye wanakudrop home, they don't love you, wako kwako kutumia and to tarnish your future, there is only one person who truly loves you, and sio mwingine, ni mimi K**aa!
After kumwambia hivo nikajikata, nilifeel vibaya sana, sikutaka kuamini anweza niambia hivo live.
Next day morning, nilistuka kuget his three missed calls. "Anaweza kuwa alitaka kuniambia nini?" Nilianza kuwaza. Before hata nimuulize, text ikaingia kutoka kwake saying that, "I'm sorry kwa vile nilireact vibaya...plz lets meet place tulimeet first time"
Sasa anaweza kuwa anataka kunishow nini... ama ni madharau anataka kunionyesha tena... should I go... wait, and if ni trap ama set up? Woreva, niliamua liwe liwalo, I love him... I want him, so I must accomplish my mission to win and have him.
Kitu saa tisa, nilijiprepare nikapiga luku yangu safi, nikalipia nduthi one on one hadi place tuliagree kumeet. Kufika nikafika ndio, but sikumpata, nikawait, nikangoja, nikangoja, nikawait for almost an hour hadi nikawa karibu kulose hope. Sasa ndio nini hizi... text hareply, simu hashiki...is it a set up? ...ama amechange mind? For sure nilikuwa confused, sikujua ni kwa nini aniambie tumeet, na mbona up to now mbona hajashow up.
I was about to loose hope, when suddenly he appeared smiling. Kumwona tu, hasira nilikuwa nazo zote zikadisappear, na vile nilikuwa nimekalishwa hapo for more than hour, morio nilijipata nikismile back. Hakika love ni sweet ukipata the one you love.
Mrefu: (smiling) Hi mambo
Me: Poa sana. Uko vipi?
Mrefu: Freshii tu... Bytha am sorry kwa kureact vibaya last time. Nilireact hivo to test if you truly love me, I wanted to be sure if kweli unanipenda... all what I did was an exam... hata time ulinicall nikakata, then ukatuma text nikajibu vibaya, ilikuwa exam bado
Me: Exam tena?
Mrefu: Ofcourse, hata ule boy nilihug time ulikam hadi kwetu ni my cousin, pia hiyo ilikuwa exam kwako, i wanted to see if unaeza nidumb that easy......
Mimi I was out of words, nimekondoa tu macho nikimwangia if he was serious. He continued:
Hata sai don't think that nimefika late kumeet, nilifika hii place earlier than you, nilikuwa just around watching you. I wanted to see if unaweza nivumilia, nilikuwa natest your patience...
To cut the long story short that's how we started our love, our relationship.
Aliniambia twende kwao.
Tulifika but kukaanza kudrizzle and before long mvua ikakuwa heavy. Kwa room ya Mrefu ni bed tu, na baridi imejaa. He suggested niingie kwa blanketi nisishikwe na pneumonia
Lakini mimi chuma ilikuwa imestand still uku ikipiga pia teke inadai kutoka nje. Mrefu aliingia bed alafu mimi kitu ilinishangaza ni alileta mkono to my waist alafu akaanza kufungua zip ya trouser yangu akitaka achomoe my net worth before irarue boxer na ma press ups.
Kwani anataka kunikula huyu ama.
Continues.
👇👇