19/11/2023
Reader’s Confession:
Hello TUKO (Name withheld),
I joined campus and fell in love with one guy, not a student. Tulikua tunapendana na hii Jaluo in a way that I trusted him so much. Ata sikuwahi fikiria anaezanipiga character development moja legit. Alianza kulalamika eti namnyima haki yake.
Alinipeleka kwa watu fake akanitambulisha kwa hiyo family fake as his family. He was helping me with my bills like rent, partially paying fees and food, so nikagive in. Iyo day nilienda kuonja ivi, boom! ball ndo iyo.
At first, he was so excited about it, but later akaanza kuchange. Late replies, no call, sometimes hatuongei ata siku mbili inaisha. So nikiwa 5 months pregnant, I decided to surprise him. I had bought him a gift so I didn't tell him that I was going to his place (work place).
Mazee kufika, ndo mtoto wa wenyewe nikalearn that the guy was married with two kids, 7 years and 3 years, both boys, na bado nje ya ndoa ako na mtoto boy of 5 years. Aki I was really heartbroken.
Nilitamani nitoe ball but nikaamua kukeep it. Akaanza kuruka bol. So ikabidi nimdanganye ati nilitoa iyo ball juu alinitumianga dooh. Hatukuwahi ongea hadi nilipojifungua and to my surprise, it was a girl, copyright ya babake.
So juzi alikam side za huku shule, and we met. Aliomba msamaha kwa yote and wants us to unite. Hataki kushughulikia mtoi hadi nikubali kurudiana naye. What can I do?
Photo: Tommy Hoyland (Flickr)