Fideli media

Fideli media Fideli media is a number one swahili & English news,sports, amazing conversation and great events media, kindly follow us for more we value you alot!
(2)

Raila Odinga; " sijasema kuwa usiongee katika chama cha ODM. K**a unafikiria Baba anafanya makosa, ongea".
25/07/2025

Raila Odinga; " sijasema kuwa usiongee katika chama cha ODM. K**a unafikiria Baba anafanya makosa, ongea".



“ODM is a democracic party,kama Sifuna ameongea ana haki ya kuongea, lazima tudumishe democracy kwa chama…yeye ni mouthp...
25/07/2025

“ODM is a democracic party,kama Sifuna ameongea ana haki ya kuongea, lazima tudumishe democracy kwa chama…yeye ni mouthpiece ya chama”

-Raila Odinga

Nyuga ambazo zitaandaa kipute cha AFCON 2027 zinatarajiwa kukamilika kati ya Desemba 2025 na juni 2026,  amesema waziri ...
25/07/2025

Nyuga ambazo zitaandaa kipute cha AFCON 2027 zinatarajiwa kukamilika kati ya Desemba 2025 na juni 2026, amesema waziri wa michezo Salim Mvurya Uga wa Talanta city stadium ukiwa umekamilika kwa Asilimia 45%.



25/07/2025

Raila Odinga

"Elimu hatuwezi cheza nayo. Waziri Wa Fedha lazima atoe Fedha za Capitation."



Finya shingo Bado kanarusha viguu 😂😅😂!Follow; Fideli media
24/07/2025

Finya shingo Bado kanarusha viguu 😂😅😂!

Follow; Fideli media

Licha ya mshambuliaji  kinda wa Shabana Fc Kenya. Austin Odongo, 19,  kukosa katika kikosi rasmi cha Kenya wachezaji was...
24/07/2025

Licha ya mshambuliaji kinda wa Shabana Fc Kenya. Austin Odongo, 19, kukosa katika kikosi rasmi cha Kenya wachezaji wasiozidi miaka 20 kule Misri, kwa sasa amejumuishwa rasmi katika kikosi kitakochowakilisha timu ya taifa harambee stars katika kipute cha CHAN, hili limetokana na ufanisi mkuu msimu uliopita katika U*i wa timu ya Shabana Kila laheri kwake!



Rasmi ;  Manchester United wako mbioni kumnasa fowadi wa Wingereza na Aston Villa Ollie Watkins.Mshambuliaji huyo wa win...
24/07/2025

Rasmi ; Manchester United wako mbioni kumnasa fowadi wa Wingereza na Aston Villa Ollie Watkins.Mshambuliaji huyo wa wingereza amekuwa windo kuu kwa Manchester United hasa mkufunzi wa timu hiyo Ruben Amorim , ambaye kwa sasa anamsaka nguli wa kumsaidia msimu ujao katika Safu ya Ushambulizi.

Kwa mjibu wa duru za kuaminika kutoka Birmingham zinadokeza kuwa Aston Villa wanamkadiria Watkins dau la pauni milioni £60 katika dirisha hili la uhamisho majira ya joto, kwa sasa mazungumzo yanaendelea .

Hii timu itasumbua msimu ujao Cunha Watkins na Mbeumo naonea mabeki na mlinda lango wa Arsenal huruma hasa katika mchezo wa kwanza ama vipi wezangu 😅😂😅......?

Mchezaji aliyewekwa katika viwango vya juu beki wa kushoto  matata Manzur Okwaro, 19, ndiye mchezaji pekee wa kikosi cha...
24/07/2025

Mchezaji aliyewekwa katika viwango vya juu beki wa kushoto matata Manzur Okwaro, 19, ndiye mchezaji pekee wa kikosi cha wachezaji wasiozidi miaka 20 aliyepata nafasi ya kujumuishwa kwa kikosi rasmi cha timu ya taifa harambee stars kitakochowakilisha taifa katika mashindano ya CHAN Kuanzia Agosti mbili.



Miamba wa soka  nchini Tanzania Simba SC wameafikiana na mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya , police FC kuhusu uhamisho w...
24/07/2025

Miamba wa soka nchini Tanzania Simba SC wameafikiana na mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya , police FC kuhusu uhamisho wa kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa harambee stars Mohammed Bajaber, kiungo huyo mwiba wa miaka ,22, anatarajiwa kuzinduliwa rasmi hivi karibuni , Bajaber anatarajiwa kujiunga na miamba hao Baada ya Mashindano ya , ambayo yanaandaliwa kwa ushirikiano wa mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki Kenya, Uganda na Tanzania kuanzia Agosti mbili mwaka huu.

Huyu ni moto sijui mbona mawakala wa Manchester United hawakumwona, angewapa taabu mabeki na walinda Lango wa timu za ligi kuu nchini Wingereza 😂😅😂.......?



Taaaarifa kutoka Ubongo ni kuwa Msenegali amemrabua Mbongo 2-1!
24/07/2025

Taaaarifa kutoka Ubongo ni kuwa Msenegali amemrabua Mbongo 2-1!



BREAKING NEWS: Wrestling icon Hulk Hogan, real name Terry Gene Bollea, has died, U.S. Weekly reports citing his family.
24/07/2025

BREAKING NEWS: Wrestling icon Hulk Hogan, real name Terry Gene Bollea, has died, U.S. Weekly reports citing his family.

NEWS ALERTEmbakasi East MP Babu Owino has declared he will vie for Nairobi Governor in 2027.He says he's prepared to run...
24/07/2025

NEWS ALERT

Embakasi East MP Babu Owino has declared he will vie for Nairobi Governor in 2027.

He says he's prepared to run as an independent candidate if his party, ODM, does not support his bid.



Address

Kisii

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fideli media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share