22/04/2025
πππππ ππππ πππππ πππππππ πππππππ
Tea Neema usipite hii bila kuLike
ππππ π
Eddy ameamini ati Neema aliolekakwa married man but Jojo alimwambia dad,I will explain to you everything si venye unafikiria. Kwanza Eddy akikumbuka huku kumekua na uvamizi,alitaka kumuona Ian but Mark akamwambia yoh, hutaingia kwangu. Huh! Eddy na Mark wakaanza kubishana na kumbe Babu Jay amechoka na Eddy alikuja akamsukumia ngumi ya mdomo mbaya mbovuπππHuyo ni baba in law ametandika former son in law.
Jojo alijaribu kuambia babake,Sharon anakuanga na memory loss,so she is always delusion si hata unaona sai anadhani ultuma watu kupiga Mark? Eddy anajua ndio alitumana,but haezi sema.
Mark amekuja anauliza Tom, si tulielewana hakuna kutumia gun,what if ungeua huyo mtu? Mark aliitisha ile gun akamwamboa haitakaa huku.
Jojo alirudi akawaambia babake ametulia na ameenda.
Na kwani Mark aliwekelewa sana na wale majambaziπππwoiye,na hawana habari ni Eddy alitumana.
Amani alijikokota hadi akafika kwenye anaka,ashajifanyie first aid sai at least anafeel better. Alimcall Eddy kumjulia hali but Eddy akamuuliza by the way,huyu Jayden boyfriend wa Jojo unamjua? Amani akamwambai yeah,namjua amedu? Eddy akamwambia huyo kijana amecorrupt mind ya Jojo hadi anamwambia mambo ya marriage. Eddy aliambia Amani,ongea na Jojo and convince her aachane na huyo kijana and make sure asijue niekutuma. Eddy anataka Amani amchukue Jojo,rather than the Jayden boy.
Eish! Ona venye Neema anamshika Mark,anamwambia my love hata majambazi wakuattack aje,I still love you sana and I cant live without you my babey. Kisha Neema akamuuliza,kuna mtu uko na issues na yeye maybe ametumana unyoroshwe,ona venye unafaa uso babe,unakaa ugali...ππMark akamwambia zii,you know everything about me sina ugomvi na mtu yeyote,Neema alimwambia hata upigwe aje,ni mimi na wewe hadi mwisho.
ππππ π
On other side of Jayden,babake alikuja akamuuliza,kwani babake Jojo alikataa uhusiano wako na Jojo