Arnold Vunga

Arnold Vunga Comedy and drama acting

Job mdogo mdogo😍👌
31/12/2023

Job mdogo mdogo😍👌

24/10/2023
Leo asubuhi nilienda kwa bank, nkapata watu wame panga laini me pia nkawa join. Then nkaona watu wana guza screen ingine...
10/08/2023

Leo asubuhi nilienda kwa bank, nkapata watu wame panga laini me pia nkawa join. Then nkaona watu wana guza screen ingine apo alafu wana chukua karatasi ingine apo, me pia nkaenda nka jaribu ku guza io screen but ili kataa nta jaribu tena na ika kataa, then dem mwingine apo mrembo akakam aka nitolea. Juu uyo dem alikuwa mrembo me nmketi but nlikuwa nkimwangalia all the time. Kidogokidogo nkastukia wenye tuliingia nayo wana niangalia. Me nae ninani nikajam wakaniuliza"si umeitwa bwana" nikawaambia mimi jina yangu si B16 wakaniambia, niangalie karatasi yangu kuangalia mkono nka kumbuka karatasi imekuwa ballgum yangu, nikaitoa kwa mdomo nkawauliza "hii ama mnasema gani" watu wote kwa bank wakaniangalia kwa bank,,, sema aibu.

27/05/2023

Welcome to zenka fist and affordable loans

23/04/2022

Hello lovely people 🖐️🖐️

17/11/2021

Business is real

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arnold Vunga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share