Middoh

Middoh Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Middoh, Digital creator, 0116893339, Kisumu.

πŸ’” Loyalty Test prank πŸ’―..
,,,Mr Sanitizer ❀️...Mr 254 βœ…
TikTok...Middoh254
YouTube..Middoh254
Instagram..Middoh254
19th Dec πŸŽ‚πŸŽ‚ birthday
Chelsea (bluesπŸ’™) forever,,
πŸ“žπŸ“ž0741233406 βœ…

Hii ni uchungu sana kumpoteza msichana mdogo k**a huyu πŸ˜­πŸ’”πŸ˜’ huyu ni Jepkorir Sheila kutoka Eldoret mwenye alifariki😭 baad...
20/05/2026

Hii ni uchungu sana kumpoteza msichana mdogo k**a huyu πŸ˜­πŸ’”πŸ˜’ huyu ni Jepkorir Sheila kutoka Eldoret mwenye alifariki😭 baada ya kukaa one month huko Sydney ,Australia baada ya kutoka Kenya kuenda kufanya kazi na kuendeleza masomo yake. Chukua sekunde 1 % kuambia family yake pole 😭.

Follow Middoh Ke

BREAKING SAD NEWS 😭😭😭A Grade 2 pupil from Etora Mission in Nyamatuta was bru:tally kill:ed in broad daylight by her uncl...
20/05/2026

BREAKING SAD NEWS 😭😭😭

A Grade 2 pupil from Etora Mission in Nyamatuta was bru:tally kill:ed in broad daylight by her uncle while heading home for lunch in Bigege Sub Location, Bogusero Ward, Kitutu Chache South.

Sending my condolences to the family πŸ™πŸ™,, Shine on your way Girl πŸ™,

Follow Middoh Ke

BREAKING SAD NEWS πŸ˜”πŸ˜­πŸ’”:Huyu mama binti yake alimbwagia watoto akakimbia Watoto wanne Huyu mama uzunguka kuomba chakula al...
20/05/2026

BREAKING SAD NEWS πŸ˜”πŸ˜­πŸ’”:

Huyu mama binti yake alimbwagia watoto akakimbia Watoto wanne
Huyu mama uzunguka kuomba chakula alishe wajukuu zake.huyu mama uzunguka kuomba pesa za wajukuu zake wasome.
Mama ameenda mpaka police ili asaidiwe kumpata huyo mschana wake na ndio k**a munamsikia alivyo ambiwa uko polisi.
Sasa kuna huyu mjukuu mkubwa ambae amefanya vizuri lakini amefukuzwa shuleni hawajalipa school fees.huyu mtoto nimrembo na mwerevu sana na anataka kusoma.tumsaidieni asije akadanganywa uko nje akaona bora ajipeane tu.
Wapenzi mie nakuja mbele yenu plz turegeshe huyu mtoto shuleni jamani.
Niko chini ya miguu yenu.chochote unaweza kupeana tuchange asome plz plz plz.mimi saizi nina majukumu mengi siwezi pekeangu.school fees yake kwa mwaka ni 53,000. Can we plz help herπŸ™ Mimi nitapeana tu number zangu ndio tujue zilizo changwa.mnakumbuka yule mtoto tulimlipia miaka yote minne?amemaliza mwaka jana.namtafuta hawape shukurani.plz number yangu ni 0791 163 070 .unaweza kuniuliza maswali kwa WhatsApp na kunipigia pia kwa WhatsApp ntakujibu.plz musinyamazie Hii post.ikiwa mnataka kuongea na huyu mama number yake hii hapa 0708 631 159.hata nimgonjwa na anazunguka kuomba school fees mjukuu arudi shule.

FOLLOW Middoh Ke

19/05/2026

Breaking News οΏ½οΏ½
Sema kutoka siakaa na Bunduki,οΏ½οΏ½, Protester in Makueni County Town alihepa na bunduki ya afande Baada ya kumpiga huyo police officer na kumjeruhi vibaya οΏ½ ,,

Unampea advice gani? Wacha tuone Maoni yako pale comment section οΏ½

19/05/2026

Unbelievable moments οΏ½οΏ½

BREAKING NEWS β€ΌοΈπŸš«:DCI together with other Local police officers have started the investigation of Looking for these two ...
19/05/2026

BREAKING NEWS β€ΌοΈπŸš«:

DCI together with other Local police officers have started the investigation of Looking for these two men From Makueni County βœ…πŸ“Œ

Yesterday During the Maandamano protest these two men snatched Gun from Anti Riot Police officers after allegedly Beating and injuring them πŸ€”,

Follow Middoh Ke

Breaking News β€ΌοΈπŸš« Huyu askari alipatikana katika ya protesters na wakampea masharti moja either aseme Wantam ndio awachi...
19/05/2026

Breaking News β€ΌοΈπŸš«

Huyu askari alipatikana katika ya protesters na wakampea masharti moja either aseme Wantam ndio awachiliwe... 🀣🀣.mnafanyaje afande aki πŸ€”πŸ˜

Anyway Wewe ni wa Wantam ama Tutam πŸ€”πŸ«΄


Follow Middoh Ke

BREAKING SAD NEWS πŸ˜”πŸ˜­πŸ’”:Alikua anajua bwanake atarudi nyumbani jioni kumbe aliuliwa Kwa maandamano ,Baada ya bwanake kukos...
19/05/2026

BREAKING SAD NEWS πŸ˜”πŸ˜­πŸ’”:

Alikua anajua bwanake atarudi nyumbani jioni kumbe aliuliwa Kwa maandamano ,Baada ya bwanake kukosa kurudi home jioni, mama huyo aliamua kwenda mortuary pamoja na mtoto akiwa kwa mgongo kuangalia k**a bwanake ako among wale waliuliwa maandamano ya Githurai. Kwa bahati mbaya alipata ni yeye alikuwa amelazwa hapo πŸ˜­πŸ’”.

Uchungu ya kuona mtu ulikua unasubiria arudi home akiwa maiti si mchezo mazee. Maandamano imeacha familia nyingi kwa machozi na majonzi. Rest In Peace βœŒοΈπŸ•ŠοΈ, Sending my condolences to his family πŸ™ ,,

Follow Middoh Ke

19/05/2026

Yesterday evening, our dear brother Abdishakur Ali Ibrein,and a recent graduate from KCA University, drowned at Kieni Forest Waterfalls in Gatundu North while hiking and swimming

The family says the search couldn't continue due to fuel strike, and are appealing to anyone who can come and help retrieve his body

The search will start earlier todays morning at Kieni Forest Waterfalls, Gatundu North. Please share this post and come if you can. Jazakallah khair. Personally nataka kuenda kusaidia hii familia
I hope vijana hamtakuwa mumeka road block

Breaking Sad News πŸ˜”πŸ’”πŸš«:Yesterday evening, our dear brother Abdishakur Ali Ibrein,and a recent graduate from KCA Universit...
19/05/2026

Breaking Sad News πŸ˜”πŸ’”πŸš«:

Yesterday evening, our dear brother Abdishakur Ali Ibrein,and a recent graduate from KCA University, drowned at Kieni Forest Waterfalls in Gatundu North while hiking and swimming

The family says the search couldn't continue due to fuel strike, and are appealing to anyone who can come and help retrieve his body

The search will start earlier todays morning at Kieni Forest Waterfalls, Gatundu North. Please share this post and come if you can. Jazakallah khair. Personally nataka kuenda kusaidia hii familia
I hope vijana hamtakuwa mumeka road block

Follow Middoh Ke

Breaking News β€ΌοΈπŸš«,,Kenyan Prince amesema kuwa, Hata bei ya mafuta ingepanda adi ifike 3000 .Ety kuwa yeye  ako sawa kabi...
19/05/2026

Breaking News β€ΌοΈπŸš«,,

Kenyan Prince amesema kuwa, Hata bei ya mafuta ingepanda adi ifike 3000 .Ety kuwa yeye ako sawa kabisa ila maskini ndio wanaumia πŸ€”πŸ€”,

Ungependa kujubu aje haya Maoni ya Kenyan Prince guys πŸ€”, wacha tuone Maoni yako pale comment section βœ…

Follow Middoh Ke

Address

0116893339
Kisumu
99830

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Middoh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Middoh:

Share