
08/07/2025
Zambian Artist Avunjika Mbavu na Mguu , Alijaribu "Stage Dive" K**a Mejja Bila Kufikiria Uzito! 😂
Eeh bana, mambo ya muziki yanataka akili na maombi! Jana kulitokea kasheshe Zambia, ambapo msanii mmoja alijisikia Superman wa stage, akasema:
"Leo lazima niruke kwa mashabiki wangu, waseme mimi ni legend!"
Akaingia na nguvu za mwili, akapandisha morali juu k**a Odi Dance ya Mejja… akatoka kwenye podium, akaruka k**a ana parachute.
Lakini mashabiki waliona mtu mkubwa anaruka, wakatoroka k**a wameona Embarambamba akiwa na panga!
Bro alianguka peke yake , siyo tu kwamba alianguka, akapata bonge la reality check: alivunjika mbavu na mguu wa kulia! 😩😭
Show ikaisha bila mic kupotea, lakini ribs zilitolewa nje ya group.
Hebu tufikirie hivi kwa dakika moja...
Imagine Mejja akiwa kwenye stage ya Thika, akideclare: "Nataka kuwarukia mashabiki wangu k**a Burna Boy!"
Na anaenda kwa speed ya mtu aliyekula chapo tano na soda mbili, akaruka...
Mtu wa kwanza anasema, "Aah huyu ni mzito!" , wa pili anasema, " Mimi si lifti ya mtu!" , wa tatu anasema " Achana na mimi bana!"
Wote wanakimbia, Mejja anatua k**a fridge ya single door , BOOOM! 😂😂😂
Maoni ya Street:
-Fan mmoja Zambia alisema: "Sisi hatukuwa tumejua k**a ni part ya performance au ni accident ya moto…"
-Mwingine akasema: “Siyo kila mtu ana fans k**a Davido bana, wengine tunapenda music lakini hatubebi watu!”
Lesson!
Usijaribu stage dive k**a huja-confirm BMI yako na uzito wa moyo wa mashabiki.
Mwenye mbavu zimeshika moto sasa anajua, kupenda mashabiki ni tofauti na kuruka juu yao! 🤣
Wishing him a quick recovery , lakini bro next time, style ndogo ndogo tu. Usijaribu Olympic kwenye concert. Good night wapenda Mziki 👋🏾❤️